Sauti: Keefe D akiri kumuua Rapa Tupac kwa kuahidiwa Dola milioni moja na Rapa P. Diddy

Na hii nyimbo ndio iliyoleta uhasama wa BIG na 2pac, Na biggie hakwenda hospital kumuona 2pac
Yup bifu ndipo lilipoanzia.Kuhusu big kutokuenda kutomuona Tupac ina maana Kwenye movie ya All Eyes on Me walitudanganya pale inapoonekana Big kaenda hospitali kumcheki Tupac
 
Kuna zile taarifa zilivumaga sana kwamba 2pac hakufa, bali alifanya Fake death, kisha Akakimbilia Cuba na akabadilisha Sura na ID.

Now day tunaambiwa P. Diddy ndie muhusika wa kifo chake.

Which is which hapa?

Hizi ni Hollywood drama , Rest in Peace 2pac Shakur [emoji1488]
Hizo taarifa zako za kipuuzi walitoa serikali?hii taarifa mpya wametoa serikali
 
Mbona amekataa hapo mwisho anasema "it wasn't me".
Nimesoma Vitabu kama Nane vya haya mauaji ya 2pac na Biggie ..nimeangalia Documentary nyingi na nimeangalia interview nyingi sana...

Kefe D ni mjinga sana...Ni kweli alikua kwenye Gari Iliyomuua Makaveli, na ni kweli kabisa wao ndio walihusika ila aliepiga risasi ni Orlando Anderson...Tena Orlando ilibidi Amuegemee Cousin wake...ndio Amlenge 2pac...Kefe D ni Mjomba wa Orlando...

Pdiddy anaingiaje?

Huko Nyuma Pdiddy kweli aliwahi mpa hiyo Offer Kefe D ya kumuua Makaveli...kefe D hakufanya...ikapita muda sana ikawa kama ishu imeshaisha muda...so siku ile ya pambano la Tyson wakina 2pac walivyompiga Orlando kule Las Vegas
Kina kefe D wakapata chance ya kumuua 2pac...

Ila sio kwasababu ya ile dola 1 milion hapana kwa sababu ya lile tukio la kumpiga Orlando anderson, Kefe D baada ya hapo akaenda kudai ile dola milioni kwa Pdiddy...sasa Pdidy kwasababu anamuogopa KefeD akamwambia nimempa drug Kingpin wa new york...yule alieorder 50cent apigwe risasi
Maana ndie aliewaunganisha diddy na kefe D

Siku ya tukio Baada ya 2pac Kupigwa risasi Suge Knight alichungulia gari walilokua kina KefeD...na wakakutana uso kwa uso na KefeD...akabaki na mshangao maana wamekua wote na ni marafiki tokea utoto wao

Baadhi ya watu waliokua kwenye gari ya kefeD bado wapo hai na nafkiri watakamatwa...police wanajua kila kitu ila makelele yamekua mengi ndio wanamkamata kefe D

Orlando aliuawa miaka michache baadae kwenye shoot out kwenye carwash moja.

Nakaribisha maswali ila usiulize kama unakejeli!
View attachment 2791869View attachment 2791870View attachment 2791872
 
Kuna zile taarifa zilivumaga sana kwamba 2pac hakufa, bali alifanya Fake death, kisha Akakimbilia Cuba na akabadilisha Sura na ID.

Now day tunaambiwa P. Diddy ndie muhusika wa kifo chake.

Which is which hapa?

Hizi ni Hollywood drama , Rest in Peace 2pac Shakur [emoji1488]
Taarifa za kiselikali ndio sahihi
 
Nimesoma Vitabu kama Nane vya haya mauaji ya 2pac na Biggie ..nimeangalia Documentary nyingi na nimeangalia interview nyingi sana...

Kefe D ni mjinga sana...Ni kweli alikua kwenye Gari Iliyomuua Makaveli, na ni kweli kabisa wao ndio walihusika ila aliepiga risasi ni Orlando Anderson...Tena Orlando ilibidi Amuegemee Cousin wake...ndio Amlenge 2pac...Kefe D ni Mjomba wa Orlando...

Pdiddy anaingiaje?

Huko Nyuma Pdiddy kweli aliwahi mpa hiyo Offer Kefe D ya kumuua Makaveli...kefe D hakufanya...ikapita muda sana ikawa kama ishu imeshaisha muda...so siku ile ya pambano la Tyson wakina 2pac walivyompiga Orlando kule Las Vegas
Kina kefe D wakapata chance ya kumuua 2pac...

Ila sio kwasababu ya ile dola 1 milion hapana kwa sababu ya lile tukio la kumpiga Orlando anderson, Kefe D baada ya hapo akaenda kudai ile dola milioni kwa Pdiddy...sasa Pdidy kwasababu anamuogopa KefeD akamwambia nimempa drug Kingpin wa new york...yule alieorder 50cent apigwe risasi
Maana ndie aliewaunganisha diddy na kefe D

Siku ya tukio Baada ya 2pac Kupigwa risasi Suge Knight alichungulia gari walilokua kina KefeD...na wakakutana uso kwa uso na KefeD...akabaki na mshangao maana wamekua wote na ni marafiki tokea utoto wao

Baadhi ya watu waliokua kwenye gari ya kefeD bado wapo hai na nafkiri watakamatwa...police wanajua kila kitu ila makelele yamekua mengi ndio wanamkamata kefe D

Orlando aliuawa miaka michache baadae kwenye shoot out kwenye carwash moja.

Nakaribisha maswali ila usiulize kama unakejeli!
View attachment 2791869View attachment 2791870View attachment 2791872
Sahihi.
 
Sakata la kifo cha Rapa maarufu duniani kutoka Marekani, Tupac Amaru Shakur au kwa jina maarufu 2Pac au Makaveli linaenda kuchukua sura mpya baada ya leo mshukiwa namba moja Keefe D kukiri mbele ya polisi kwamba alihusika na mauaji hayo lakini alitumwa na Rapa P. Diddy kwa ahadi ya dola za Kimarekani milioni moja.

Mapema leo mshukiwa Keefe D amenyoosha maelezo kuwa kweli alihusika na mauaji hayo, na kwamba endapo angefanikisha basi Rapa P. Diddy angemlipa hiko kiasi cha pesa..

Rapa 50 Cent aliwahi kunukuliwa hadharani akisema Rapa P. Diddy ndiye muhusika mkuu wa kifo cha 2Pac, kauli ambayo ameirudia hivi karibuni baada ya Keefe D kutiwa nguvuni..

View attachment 2779948

View attachment 2779949

View attachment 2779950

View attachment 2779951
Damu ya mtu ni nzito kuliko maji
 
Familia ya Tupac, imeajiri mwanasheria kufuatilia uhusiano wa kifo chake na P. Diddy

Embu tuleteeni hadithi za akina Chief Mangungu wa Msovela, hayo mambo ya watu wa marekani hayatuhusu
 
Back
Top Bottom