Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ndio maisha yake binafsi mi sina shida nayo na hakuombwa kuyatangaza.....mambo yake angebaki nayo mwenyewe maana halisi ya (maisha binafsi)Kheeeh yaan chimanoo ajibanee kisa wee Eve kupenda mziki wao? Wee unapenda mziki wao au maisha yao binafsi nje ya mziki?? Mbna unachanganyaaa??
Nweii haiwapunguzii kituu, utawasikiliza wengine waliobako, yeye hizo sio shida zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaaa cheo kipya kabisa hiki, bila shaka hakina verification ya Ricky boy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cc: Evelyn Salt
Malkia wa matunda ya kimaskhara.
Sema watatakiwa kuwa na hits nyingi kama sauti sol maana wana muda mrefu Ila hitz zao zinahesabika.Yes, hart the band wata take over ila kama nao hawata vunjika
Angalia mileage ya hao ulo watolea mfano na hawa tunapozungumzia hapa, kingine angalia zama waliokuwepo hao unao jaribu kuwalinganisha na hawa walio kaa kwenye industry zaidi ya 2 decade halafu njoo na majibuLilivunjika TMK Wanaume, East Coast Team n.k hasara gani tutapata sasa mpya?
Hana uhakika na majibu yake[emoji41]Unahisi au ni kweli upinde mbona hueleweki mkuu?
Ndio boss na alithibitisha kwa kumpost na bwana ake pia,Daah nilipitwa aseee mkuu, aliconfess mwenyewe kwamba ni shoga?
[emoji41]Avha watengane tu jamaa akampikie mumewe
Inategemea na psychology ya mtu na mtuMkuu ukiwa Fan wa mtu au kundi personal life yake sio kitu cha kuangalia? Yaani niwe no 1 fan wa punga? Kisa ni life lake sasa huo ni u fan au upuuzi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15]Itakuwa wamegundua kuwa wote wamepata bwana mmoja...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na hawa watu waaojifanyaga kuchukia huwa Wana mambo ya ajabu sana usiku,
Yote yana wezekanaNi mbinu ya biashara hiyo!
Watakavyorudi, watatengeneza pasa nyingi sana!!!
[emoji23]Uzi ushaanza kutoa harufu huu
Tuiteje mkuu[emoji848]How is this news sad? Watu kupumzika kufanya kazi pamoja ndo uite sad news??
Hapo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wivuuuu hakuna kingine, chezeya kumilikiwa na Mzungu weweee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahCheka unenepe kipenzi changu, jamuhuri ya Jamii Forum haiishiwi vituko halafu sura ni zile zile hakunaga mpya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yes, kazi ya branding na promotion itawagharimu sana kukaa kwenye right angleSema watatakiwa kuwa na hits nyingi kama sauti sol maana wana muda mrefu Ila hitz zao zinahesabika.
Gap la sauti sol litaonekana baada ya muda hakika
Sawakikundi cha mashoga kikivunjika ni habari njema na siyo sad news kama ulivyoripoti
Sasa kutambulisha mumewe ni shida? Mbna hata wee unamtambulisha mumeo mbele za watu inapobidi, why yeye asifanye hivyo?Ndio maisha yake binafsi mi sina shida nayo na hakuombwa kuyatangaza.....mambo yake angebaki nayo mwenyewe maana halisi ya (maisha binafsi)