Sauti ya Hayati Magufuli ikisema "Mtanikumbuka" yasikika tena, safari hii kwenye Uviko

Magufuli alikufa Kwa ujinga, upumbavu na ubishi uliokithiri ametuangusha sana sana, deep state walikuwa wanampa kila tahadhari na kila taarifa ila ubishi,uzuzu, na ubazazi wake alianguka nao.

TISS walifanya kazi yao yeye alileta ubishi na ujuaji wa kichifu wa kisukuma ndio shida, he bahaved as father house and Chief badala ya kubehave kama president, hata diplomatic tuition sidhani kama alihitimu na kuipa thamani kama induction akiwa Ikulu.

Magufuli died of his own stupidity he acted foolishly as a messiah of his own making.

But generally speaking had he borrowed some advice and humbleness he was such a huge potential with prolific endowment in his brain, dedication, commitment, focus, determination, goal oriented, inclusive oriented, future generational mindset.

Who knows you enter by your own tongue and you exit by your tongue.

"Nothing and no one special than God himself" wadiz, 2023
 
Hivi unajua huyo mungu wenu alikufa kwa kovid hiyohiyo ?
 
Yeye ambaye hakuvaa na tuliovaa "vidudu"vimemsomba nani?
 
Umeyasema yoote hayo, mwisho wa siku ni irrelevant. Umeonyeaha chuki badala kupambana na beberu mwenzenu na utafiti wake.
So what kama alikufa? Nani asiyejua kama amekufa, tena kwa corona....shida yako nini sasa?

Umejiumauma mwishowe umetapika. Oh mara korona, oh mara 'Mungu' oh mara his 'tongue' yaani vijisababu lukuki huku mkijua mmetumwa kuja kufanya ugaidi tu mtandaoni. Sidhani kama mna huo mshipa wa kuyasema haya mtaani.

Tutawafunga kwenye matenga tuwazungushe na singeli mtaani.

Poleni kwa huzuni
 
Yeye ambaye hakuvaa na tuliovaa "vidudu"vimemsomba nani?
What you said is Irrelevant, and you know it. Wacha ugaidi wewe, subiri usongo wa ubongo unakunyemelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…