Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Watu milioni 30 waache kutafuta riziki za familia zao waamue tu kuingia mitaani!. Haya mawazo ya Mbowe na Lema yamepitwa na wakati.Nilichosikia jana ni Conspiracy Theories, na Mipasho; Nimesikia, nimeona, etc etc etc Na kile kijeshi ati left right left right cha kuwashughulikia Chadema duuu. Hivi watu millioni 30 waingie mtaani na hicho kijeshi na hizo left right kitafanya nini! Anger, hunger vikifika kilele hivyo vi Left and Right huwa navyo vinakimbia. Kwa kuwa maana ya ya kuishi huwa tena haipo. Fugeni tu hizo chuki (anger) na njaa (hunger).
Kazi ya kuhamasisha uadui wanaoifanya wanajulikana siku zote. Yeye kaamua kuonyesha kuwa nyumba ina mwenyewe kwa muda huu sio tupu kama hao wanaoanzisha fujo kwa mara kwa mara wanavyojidanganya.Nafikiri Rais awe mwangalifu sana katika kuchagua maneno au lugha ya kuongea mbele za hadhara za Watu, asiwe anaamini kila kitu anachoambiwa na wale Watu wanaomzunguka. Sometimes anadanganywa au amekuwa akiambiwa Habari ambazo zimetiwa chumvi Sana. Awe anachuja maneno ya kuongea hadharani.
Rais asipende kuanzisha malumbano na Mabalozi wa nchi za nje waliopo hapa Tanzania. Azingatie Sana Mikataba ya kimataifa, hususani Vienna Convention 1961.
Aidha, asipende kuanzisha au kuhamasisha uadui wa kisiasa hapa nchini.
Unafahamu maana ya uhaini?Kwasababu ni wahaini......hio Samia must go ni uhaini tosha dhidi ya rais
Kazi ya kuhamasisha uadui wanaoifanya wanajulikana siku zote. Yeye kaamua kuonyesha kuwa nyumba ina mwenyewe kwa muda huu sio tupu kama hao wanaoanzisha fujo kwa mara kwa mara wanavyojidanganya.
Demokrasia kuwepo haina maana uhuru unaokuwepo upitilize kiasi. Kuongea na kuwasilisha maoni ni haki yetu ambayo huwa na mipaka yake.HAKUNA KUVIMBIWA MADARAKA KIONGOZI YOYOTE LAZIMA AWE MKALI BILA HIVYO WATATAKA MPKA WASHIKE NA MBONI YA JICHO LAKE WANASIASA WAHUNI SANA SASA WAJARIBU KUINGIA BARABARANI WAONE KITAKACHOWAPATA WATALIA NA WA KWAO
Ni kweli mkuu yote usemayo lakini hayawezi badilisha kitu yeye ndio muhimili no 1 nchini!..nyumba ingekuwa na mwenyewe watekaji asingekuwa wanatamba na kutesa wananchi kiasi hiki.
..Mama Abduli ni mvivu, mzembe, na ana upeo mdogo ktk kuchambua masuala. Hotuba yake jana imedhihirisha hilo.
Huyu mama amewalea sana!Wapuuzi sana, wame-mbeep SSH kawapigia sasa kupokea simu ndio tatizo kwao.
Aliwalegezea kwa muda mrefu sana jana kawakazia, wanakuja humu kulialia na kulalamika.
Nitajie awamu moja tu tangu ile ya Mwalimu Nyerere ambayo haijawa na matukio yoyote ya unyama na ukatili...nyumba ingekuwa na mwenyewe watekaji asingekuwa wanatamba na kutesa wananchi kiasi hiki.
..Mama Abduli ni mvivu, mzembe, na ana upeo mdogo ktk kuchambua masuala. Hotuba yake jana imedhihirisha hilo.
Kuanzia sasa wajipange kwa akili nzuri kweli kweli.Huyu mama amewalea sana!
Msimu umefika wamekwisha fanya maombi ya ukimbizi hivyo wanaharakisha visa zitolewe!Kuanzia sasa wajipange kwa akili nzuri kweli kweli.
Atawapelekea moto waishie kulalamika kwa ofizi za ubalozi wa mataifa ya Ulaya na Marekani.
Nitajie awamu moja tu tangu ile ya Mwalimu Nyerere ambayo haijawa na matukio yoyote ya unyama na ukatili.
Mauaji yanafanyika huko mitaani kila siku na ni dunia nzima. Hata kwenye nchi zenye marais wanaosifika kwa uwezo wa kuwaongoza vyema raia wao kuna unyama mwingi tu.
Uhaini maji ya kunywaUnafahamu maana ya uhaini?
Hizo safari zote za huko nje lengo ni kukamilisha miradi mingi mikubwa. Huo ni utetezi wa wananchi unaofanyika kisomi...hiyo haihalalishi kuwa na mambo ya kishen-zi ktk nchi yetu.
..Mama Abduli alipaswa kututetea wananchi, badala ya kujifungamanisha na watekaji.
Wasubiri uchunguzi wa jeshi la polisi huku wakiendelea kumsifu chura kiziwi anaupiga mwingiMkuu wewe unataka wananchi wafanye nin labda, Naomba twende taratibu.
😂😂Wasubiri uchunguzi wa jeshi la polisi huku wakiendelea kumsifu chura kiziwi anaupiga mwingi
Nyie si kwanza tokea kuwepo kwa dunia na vyama na viongoz ninyi si wa kwanza kuamini hamna mwisho labda kama huijui hstry walikuwepo wakuu na watesi kuliko ccm lakin walitoweka mlimuona jiwe kama mungu mtu leo imebaki story tu ccm haina miaka hata 10 mbele itatoweka kbs mtasanda tuuUwoga upi huo,,,nyie si mnajifanya vidume na mmevurugwa mje mpambane na wenzenu waliovurugwa zaidi yenu,,,,,nani aliewadanganya kwamba utawala mtu anapewa kwa kipande cha karatasi tu,,,kama mnajiamini ingieni kwenye uwanja wa mapambano acheni taarabu zenu za ukeyboard warrior
Usiropoke vitu ambavyo haujui maana yake.Uhaini maji ya kunywa
ndio ni nchi yangu!!Wewe nchi yako hii!
Maana si ndo hioUsiropoke vitu ambavyo haujui maana yake.
Tokea Tanzania ianze ni CCM mpaka Yesu atakaporudi ni CCM tuNyie si kwanza tokea kuwepo kwa dunia na vyama na viongoz ninyi si wa kwanza kuamini hamna mwisho labda kama huijui hstry walikuwepo wakuu na watesi kuliko ccm lakin walitoweka mlimuona jiwe kama mungu mtu leo imebaki story tu ccm haina miaka hata 10 mbele itatoweka kbs mtasanda tuu