Sauti za waliofukiwa na Ghorofa Kariakoo: "Tuko hai lakini tunateseka, tusaidieni tutakufa"

Kusitisha evacuation ndio safe way?
Umeambiwa huna akili huko ju. No kweli huna. Nimekujibu kulingana na upuuzi ulioandika kwa wachangiaji..
Wewe ni mpuuzi 1 hivi
wapi ulipoambiwa evacuation imesitishwa??
Yaani unaokoteza taarifa za Instagram halafu unakuja kuchangia mada?acheni utani please!
 
Tati
Tatizo la wanahabari wetu cjui wamesomea wapi unaona mtu ana hali mbaya bado unarudia rudia hali zenu zikoje lakin, ndo wale wakuhoji misiban huu msiba umeuchukuliaje, 😢 feel their pain.
 
Na badokuna jinga linasema mama kaupiga mwingi
 
Pumbavuu mwandishi Hali zenu Hali zenu wenzio wapo chin ya Tani za kifusi kwa akili yako wangekwambia wapo vizur wanapunga upepo ama
 
Huyo mtu wa kusimamia uhai wao anaelekea Brazil.

Ajabu safari hii akwenda kwenye COP29 Azerbaijan (itakuwa uchovu wa ziara ya Marekani)

Mungu awape nguvu ya kupambana kutetea uhai wao waliokuwa hai.

Tanzania kwa serikali yetu kudondoka kwa ghorofa sio habari kuu. Ingelikuwa ni huku tunapoishi sisi kwenye vijiji vyetu vya mpakani hiyo sio habari ndogo kwa nchi jirani na jitihada za uokozi. Mafanikio ya uokozi ni political mileage sio swala la mzaha kabisa,

Hatuwezi kujifananisha na wazungu, watu wanaoendesha nchi zao akili zao sio za mzaha-mzaha kabisa.
 
Dah. Mama hayupo😭
 

Tuendelee kuikumbatia CCM
 
Mimi usingizi umeshindikana kbs Kwa Leo!Kuna yule dada Instagram anaitwa bintimohammed28 ameniliza Kwa jinsi walivyo banwa!Hivi ule muda waziri mkuu anapoteza kuhutubia si ungefaa kuendelea na kazi?Yaan mtu anakuja kwenye majanga badala apige kazi ndio kwanza anakuja na msafara wa maV8 na kupoteza muda tu!Tunaongozwa na watu wa ajabu sana
 
Mad Max , Poor Brain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…