Sauti za waliofukiwa na Ghorofa Kariakoo: "Tuko hai lakini tunateseka, tusaidieni tutakufa"

 
Taarifa alizotoa mhanga zinatosha kabisa kumfanya msikilizaji yeyote anaejua hilo eneo akapafahamu wahanga walipo.Huo muda wa kumtafuta muokoaji ndio asikilize maelezo una uhakika simu ingeendelea kuwa hewani?Ingekata chaji?Tuache kukosoa kila kitu. Mwandishi ametekeleza wajibu wake ipasavyo. Hawa watu kumi wakiokolewa hizi ni moja kwa moja juhudi binafsi na ubunifu wa mwandishi. Sisi kazi yetu kukosoa tu tukiwa nyuma ya keyboard.
 
Kama jengo halijabomoka pande Zote watu wa kikosi Cha uokoaji wangetafuta namna ya kupata vifaa watoboe vimashimo vidogo vidogo ktk kila jengo Kwa ajili ya kusaidie kuwaingizia hewa wahanga walioko ndani ya jengo na kupitia hayo vinafasi waingize maji Yale madogo madogo Kwa ajili ya wahanga
 
So sad,Mungu awape neema wawe salama na watoke katika hali ya afya njema Nachukua nafasi hii kuwapa pole wale wote waliopatwa na janga hili na walipoteza maisha wapate pumziko la amani
 
Ilipaswa na yy awe kwenye magwanda ya uokozi kuhamasisha. Hakuna point ya kuhutubia tena uhai na uchovu wa mwili ausubiri kwa watu walionaswa.
 
Dah,ya Allah watilie wepesi waja wako wapate kuokolewa salama watoke kwenye ilo janga lililowafika huko chini ya vifusi, kwa hakika baada ya uzito upo wepesi inshall'ah
 
CCM hawana hiyo akili. Akili zao ni kununua mashangingi na magoli ya Simba na Yanga.
 
Wananchi wameokoa watu wengi kuliko hao unaowaita Wataalamu.
 
Inshu ni namna tunavyodili na matatizo,kama nchi bado kuna tatizo sana hasa yanapotokea majanga,just imagine jana kuna watu walijitolea tu kuwaokoa wenzao..kana kwamba vyombo husika havipo..na hata walipofika ilikua ni kuanza kuhutubia wanachi kwanza badala ya kuwahi kuokoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…