Sawa huenda Hayati Magufuli alikuwa fisadi, Je hizo pesa zilitoka wapi?

Unasubiri nini kuyafukua ili tulie sana?

Ukishaweza kuonyesha trillions alizofisadi JPM zilitoka wapi usisahau kunishtua KAMANDA!!
Hana lolote huyo zaidi ya chuki binafsi tu kwa Hayati JPM.

Unadhani jinsi linavyomchukia Mwamba wa duniani JPM, lingeshindwa kuweka hapa ushahidi sahihi ikiwa lilikuwa na uhakika [emoji848][emoji847]
 
Ninavyoguswa kwa uchungu wa ile kauli ya Hayati JPM "Nimesakrifai maisha yangu kwaajili ya wa-TZ maskini" nikajikuta nitakufuru hadi nimeamua kukaa kimya tu.
 
Mkuu tufanye unayoyasema hapa juu ya Magu yote kweli,

Sasa naomba utuambie hizo trillions mnazosema JPM kazifisadi zilitoka wapi?ukizingatia mambo yalikuwa kama ulivyodai hapo juu!!
 
Hata kama ndizo chuki lakini daaah....[emoji16]

Mbona JPM mwenyewe alikiri aliipokea nchi kwa Mh Rais mstaafu JK ikiwa haina pesa hazina hata za kuiongoza nchi kwa siku 9 [emoji848]

Na hiyo video ipo hata YouTube [emoji848][emoji38]
 
Ninavyoguswa kwa uchungu wa ile kauli ya Hayati JPM "Nimesakrifai maisha yangu kwaajili ya wa-TZ maskini" nikajikuta nitakufuru hadi nimeamua kukaa kimya tu.

Mkuu usipate tabu wala kuumizwa na hawa VIBARAKA/CHAWA wanaompondea Mwamba JPM daily humu na kwengineko,

wengi wao nafsi zao zinawasuta ingawa hawana tu jinsi maana wapo KIBARUANI,

Ila tutakwenda nao mdogo mdogo mpaka wakimbie VIBARUA vyao!!
 
Umvevuta skunk nini? Na Kikwete aliiba kiasi gani?
 
Tujikumbushe Mmbunge wa Chalinze na Naibu waziri wa ardhi akisimulia Chalinze aikuwa na kiwanda toka kuanzishwa kwa dunia mpaka alipoingia Magufuli na kushawishi wawekezaji wa kimataifa kwenda.

Sasa hivi wanajifanya wamesahau,

daily kumpakazia mabaya JPM ili ionekane hajafanya chochote kizuri kwenye nchi hii

CHUKI ZAO ZINAWATESA WENYEWE!
 
Hata kama ndizo chuki lakini daaah....[emoji16]

Mbona JPM mwenyewe alikiri aliipokea nchi kwa Mh Rais mstaafu JK ikiwa haina pesa hazina hata za kuiongoza nchi kwa siku 9 [emoji848]

Na hiyo video ipo hata YouTube [emoji848][emoji38]
Wewe unaweza muamini Mwendazake? Yaani yule alivyokuwa muongo na kupenda propaganda na kuabudiwa?

Mwendazake ndiye alianzisha mambo ya kuponda watangulizi na kudanganya wanyonge wake kwa kusema tunajenga kwa pesa zetu kumbe mikopo ya kufa mtu.
 
Mkuu tufanye unayoyasema hapa juu ya Magu yote kweli,

Sasa naomba utuambie hizo trillions mnazosema JPM kazifisadi zilitoka wapi?ukizingatia mambo yalikuwa kama ulivyodai hapo juu!!
Na wewe una maswali ya kitoto,kwamba pesa za kuiba zilitoka wapi?

Muulize Assad na Kichere maana wote ni wateule wake na ndio watia ripoti
 
Unadhani kwenye hiyo miradi yote ya matirioni hakosi 10 au 20 percent?

NB. Miradi mingi iliyoanzishwa na serikali kwa kukurupuka imeanzishwa ili viongozi wapige pesa
 
Waheshimu Baba na Mama upate miaka mingi na kheri Duniani.

Epuka kumdamganya Mungu sababu hasira yake ni mbaya sana.

Unafanya mambo ya ajabu alafu unawaambia watu wakuombee, sijui hasira ya Mungu itakuwaje hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…