kwakina itafakari
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 618
- 1,258
- Thread starter
- #221
Zingine zilitoka kwenye ule mgao wa ACACIA wa MAKINIKIA; na ndio maana hatukupata zile NOAH alizotuahidi!!
Zingine kiasi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zingine zilitoka kwenye ule mgao wa ACACIA wa MAKINIKIA; na ndio maana hatukupata zile NOAH alizotuahidi!!
Swali gani la kijinga hivyo umeuliza? Hela zilikuwa zinatoka wapi?
Kwani wananchi tulisimama kulipa kodi kipindi cha JPM? Kodi zililipwa na hizo hizo fedha za wafanyabiashara walizokuwa wanaporwa kwa nguvu ndo zilitumika kiufisadi maana hazikuwa na maandishi.
Serikali ilikuwa inakopa mno kimya kimya kwa nchi zilizokataa kutoa misaada kwa Tanzania maana mkopo ni biashara hakuna nchi wala taasisi ya kimataifa itakataa kukupa mkopo wenye riba kubwa kisa tu wamesitisha misaada.
Ndivo ivo Magufuli style sikulaumu .......''Kinywa cha mpumbavu hunena yaujazayo Moyo'' Methali!!!..... Allah! mwenyewe! siyo Maneno yangu
Hata me nimedhindwa kumuelewa aiseeAnayemuelewa huyu kilaza anisaidie
Nimesoma mapendekezo na uchambuzi wa mabadiliko ya sheria yaliyoandaliwa na Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS).Kwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea ,
yaani kwa hesabu za haraka haraka ndani ya utawala wake wa miaka 6,ameiba zaidi ya 7trillion za kitanzania
Sawa,yafuayato yote ni kwa mujibu wenu nyinyi wenyewe tangu JPM akiwa hai
Katika kipindi cha utawala wake UCHUMI wa nchi ulikufa kabisa kutokana na sera zake mbovu na CHUKI zake kwa MATAJIRI,hali iliyopelekea wawekezaji kuondoka na kufunga viwanda vyao
Wawekezaji wapya waliogopa kuja nchini kutokana na utawala wake wa kidikteta
Aliharibu ama kuuwa kabisa sekta binafsi nchini hivyo kupelekea nchi kuwa na mzunguko mdogo wa kifedha mtaani,yaani hali ilikuwa mbaya
Alikuwa akipika takwimu kuonyesha uchumi unakuwa ili hali uchumi ulikuwa hoi bin taaban
Maduka makubwa kariakoo na karibu nchi nzima yalikuwa yakifungwa, na ndio sababu
Alikuwa akipika takwimu za makusanyo kila mwezi kwa kushirikiana na TRA ili hali makusanyo yalikuwa haba kabisa
Alitengwa na jamii za kimataifa na kunyimwa misaada kutokana na kuminya demokrasia nchini
Alikuwa akilipa madeni kimya kimya kutokana na amri za mahakama za kimataifa baada ya kukurupuka kuvunja mikataba ya kampuni mbali mbali
Aliua kabisa bandari ya Dar kiasi kulikuwa hakuna kabisa meli zilizokuwa zinakuja hapo bandarini(wafanyabiashara walikimbilia bandari za Mombasa,Msumbiji na DURBAN)
Alikuwa anakopa sana mikopo isiyo rafiki kwa nchi ili
Kununua ndege kwa cash
Kununua wapinzani
Kuhamishia serikali Dodoma
Kujenga bwawa la Nyerere
Kujenga SGR
Kujenga daraja la Busisi(kuwafurahisha wakwe)
Kujenga airport ya chato (international?)
Na mambo mengine kibao kama kujenga barabara,hospitali,madaraja,kukarabati viwanja vya ndege nk nk( tunataka maendeleo ya watu na sio vitu ....mnakumbuka?)
Sasa swali langu kwenu WAUNGWANA, kutokana na hayo yote hapo juu mliyokuwa mkituambia (msidhani tumesahau)
Je hayo matrillions aliyofisadi JPM yalikuwa yanatokea wapi..???
Zingine kiasi gani?
Fanya hesabu mwenyewe. Tuliambiwa tutalipwa kiasi fulani na ACACIA na pesa iliyolipwa na kuoneshwa vitabuni ikawa KIDUCHU; hivyo tofauti ya Pesa tuliyokuwa tunadai na ile iliyolipwa ndio hiyo JIWE alitia kibindoni!! Hela mingi eti; ndio maana washirika wa Jiwe akina KABUDI hata siku moja hawazungumzii suala hilo!!
Nimesoma mapendekezo na uchambuzi wa mabadiliko ya sheria yaliyoandaliwa na Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS).
Maeneo mengi ya mabadiliko yamependekezwa sawa kabisa, ila kwa sheria za madini, gesi na mafuta (Extractive industries), mapendekezo mengi yana mapungufu sana.
Mapendekezo mengi katika eneo hili nimeyakataa kwa kuwa yanaonekana kuwa ama superficial au yanapendelea wawekezaji.
Mapendekezo haya yakitekelezwa yatarudisha Tanzania miaka 30 nyuma.
Hakuna mtanzania anayejielewa anaweza kupendekeza kuondolewa kwa 16% ya hisa kwa taifa kwa kila mradi mkubwa wa uchimbaji madini (free carried interest shares).
Aidha, pendekezo la kuondoa 80% ya umiliki wa watanzania na kwenye managements za makapuni yanayotoa huduma katika miradi ya madini gesi na mafuta halifai.
Hoja kwamba watanzania hawana mitaji mikubwa wala utaalam wa madini gesi na mafuta hivyo sheria isitoe haki ya kisheria kwa makampuni husika kupewa 80% ya local ownership, ni hoja hafifu, haifai wala haikubaliki.
Pendekezo hili linamomonyoa kabisa hoja ya local content inayolenga kwa upended mmoja, kufungamanisha shughuli za madini, gesi na mafuta na sekta nyingine za kiuchumi na kijamii, na kwa upended wa pili, kuimarisha uwezo wa kiuchumi wa watanzania kupitia umiliki wa rasilimali zao. Kutoa manufaa ya kiuchumi kwa watanzania.
Sijajua kwa uhakika team iliyofanya kazi hii ilikuwa ya akina/iliongozwa na nani. Bado ninafuatilia hii kitu.
Hata hivyo tip niliyoipata hadi sasa ni kuwa team iliyoandika uchambuzi huu (dossier) iliongozwa na mwanasheria mmoja mmiliki wa kampuni ya wanasheria ambayo hutoa huduma za kisheria kwa kampuni za madini.
Sijui kwa nini TLS haikuona mkanganyiko wa mgogoro wa kimaslahi (conflict of interest) kisha kufanya uamuzi kabla ya kutoa kazi kwa team hii.
Bubelwa Kaiza - ujumbe huu usambazwe kwenye mitandao ya kijamii hadi uwafikie wadau wa pande zote - TLS na jamii ya kiraia, makampuni kwenye tasnia ya uziduaji na serikali (hususan wizara za madini na nishati)
Kwani kwa mujibu wa ACACIA kupitia taarifa zao walizokuwa wanatoa kipindi kile, wao walikubali kulipa kiasi gani na mpaka JPM anakufa walikuwa washalipa kiasi gani?
Mbona kila kitu kilikuwa wazi kabisa,au unataka kuleta UDAKU tu kama ilivyo ada yenu?
Kikwete kila siku yuko USA,ulaya, zile16% kwenye hisa na mirahaba jamaa wanataka kuziondoa, JPM alipigana sana na kamati ya ufundi ya akina kabudi. Leo hii JK anataka kuwarudishia mabeberu. Ni hatari sana wananchi wanaweza kulala barabarani turudie uchaguzi.Wengi wao kwenye hiko chama ni VIBARAKA tu wa MABEBERU,either kwa kujua au kutokujua!!
yaleyale tuuu huna jipya!Anayemuelewa huyu kilaza anisaidie
Asiwe kibaraka utakula nini weye mburula!.....PC unayotumia kuweka utoporo wako unajua inatoka wapi?? unaweka tuu tako lenye naniliu .......na kutype km zuzu vile!Wengi wao kwenye hiko chama ni VIBARAKA tu wa MABEBERU,either kwa kujua au kutokujua!!
Asiwe kibaraka utakula nini weye mburula!.....PC unayotumia kuweka utoporo wako unajua inatoka wapi?? unaweka tuu tako lenye naniliu .......na kutype km zuzu vile!
Niki panick hutavumilia!! alah! kuumbe weye unashindana?? mwee!!.... mie hapa tunafundishana jukwaa mwanana jf!Haaah haaah mkuu usipanick kihivyo,tufanye basi umeshinda!!
Nenda kwenye taarifa aliyotoa JIWE kuonesha jinsi ACACIA walivyotuibia over the years ,halafu nenda kwenye AUDITED ACCOUNTS ZAO UONE kiasi gani pungufu ya zile tulizojulishwa kuwa tunawadai!! Kama walibadilisha ukubwa wa deni, what incentive did they have to reduce the debt?
Niki panick hutavumilia!! alah! kuumbe weye unashindana?? mwee!!.... mie hapa tunafundishana jukwaa mwanana jf!
Makosa makubwa ni kuzuia kusemwa.
Kisheria zitabaki kuwa ni tuhuma mpaka ziwe proved beyond reasonable doubt.
Magufuli atasemwa tu hata iweje sababu kuondoka kazini kwa Prof Assad hakukuwa kwa kawaida , doa la zile Trillion 1.5 litaendelea kuwepo hadi siku zimeoneshwa zilikwenda wapi.
Ataendelea kuitwa fisadi mpaka siku Mayanga constructions ambao ni washutumiwa wakuu wakihusihwa ni kampuni yake watakapooneshs documents za ushindani wa zabuni maana kazi ya tume ya ushindani ndio ipo hapo pia duniani kote tenda lazima itolewe kwa uwazi na ishandaniwe yule aliye bora ndio atachukua ila hili halikua likifanyika ilikua ni "maelekezo toka juu"
Siku documents za manunuzi ya ndege ambazi ni pesa za watanzania zitakapoonekana ndio ataachwa kuitwa mwizi n.k tukumbuke Prof Assad alikua kazini na ni jukumu lake kukagua taarifa zihusuzo fedha kitaifa na kwa maslahi ya taifa ajabu hili lilikua halifanywi kwa kutekeleza "mzee hapendi kukaguliwa" hakuna nchi isiyotanguliza maslahi ya taifa ikafanikiwa .
Yaani hili swali ni la drs la pili... hiviKuna kitu chochote ulichoandika kwenye hii thread ambacho mtu anaweza kujifunza?
Alisimamishwa tu pia waliokuwa wakimpinga wazi dikteta nini kilikua kikifuata?Wewe badala ya kulia lia hapa ,kwanini usiweke hapa vithibitisho vinavyoonyesha huo wizi wake?
Mbona huyo Assad alisimamishwa na Magu mbele ya camera akaambiwa aseme hizo 1.5 trillion zilizopotea ni zipi,akajibu Hakuna hela iliyopotea?
Sasa wewe unavyosema zile 1.5 trillion,nikikuuliza zilikuwa wapi utaweza kunijibu?