Sawa huenda Hayati Magufuli alikuwa fisadi, Je hizo pesa zilitoka wapi?

Swali gani la kijinga hivyo umeuliza? Hela zilikuwa zinatoka wapi?

Kwani wananchi tulisimama kulipa kodi kipindi cha JPM? Kodi zililipwa na hizo hizo fedha za wafanyabiashara walizokuwa wanaporwa kwa nguvu ndo zilitumika kiufisadi maana hazikuwa na maandishi.

Serikali ilikuwa inakopa mno kimya kimya kwa nchi zilizokataa kutoa misaada kwa Tanzania maana mkopo ni biashara hakuna nchi wala taasisi ya kimataifa itakataa kukupa mkopo wenye riba kubwa kisa tu wamesitisha misaada.

Tatizo lako umekurupuka kujibu swali la 'kijinga'soma mada uielewe then ndio uje kujibu hapa!
 
Kwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea ,

yaani kwa hesabu za haraka haraka ndani ya utawala wake wa miaka 6,ameiba zaidi ya 7trillion za kitanzania

Sawa,yafuayato yote ni kwa mujibu wenu nyinyi wenyewe tangu JPM akiwa hai

Katika kipindi cha utawala wake UCHUMI wa nchi ulikufa kabisa kutokana na sera zake mbovu na CHUKI zake kwa MATAJIRI,hali iliyopelekea wawekezaji kuondoka na kufunga viwanda vyao

Wawekezaji wapya waliogopa kuja nchini kutokana na utawala wake wa kidikteta

Aliharibu ama kuuwa kabisa sekta binafsi nchini hivyo kupelekea nchi kuwa na mzunguko mdogo wa kifedha mtaani,yaani hali ilikuwa mbaya

Alikuwa akipika takwimu kuonyesha uchumi unakuwa ili hali uchumi ulikuwa hoi bin taaban

Maduka makubwa kariakoo na karibu nchi nzima yalikuwa yakifungwa, na ndio sababu

Alikuwa akipika takwimu za makusanyo kila mwezi kwa kushirikiana na TRA ili hali makusanyo yalikuwa haba kabisa

Alitengwa na jamii za kimataifa na kunyimwa misaada kutokana na kuminya demokrasia nchini

Alikuwa akilipa madeni kimya kimya kutokana na amri za mahakama za kimataifa baada ya kukurupuka kuvunja mikataba ya kampuni mbali mbali

Aliua kabisa bandari ya Dar kiasi kulikuwa hakuna kabisa meli zilizokuwa zinakuja hapo bandarini(wafanyabiashara walikimbilia bandari za Mombasa,Msumbiji na DURBAN)

Alikuwa anakopa sana mikopo isiyo rafiki kwa nchi ili

Kununua ndege kwa cash

Kununua wapinzani

Kuhamishia serikali Dodoma

Kujenga bwawa la Nyerere

Kujenga SGR

Kujenga daraja la Busisi(kuwafurahisha wakwe)

Kujenga airport ya chato (international?)

Na mambo mengine kibao kama kujenga barabara,hospitali,madaraja,kukarabati viwanja vya ndege nk nk( tunataka maendeleo ya watu na sio vitu ....mnakumbuka?)

Sasa swali langu kwenu WAUNGWANA, kutokana na hayo yote hapo juu mliyokuwa mkituambia (msidhani tumesahau)

Je hayo matrillions aliyofisadi JPM yalikuwa yanatokea wapi..???
Nimesoma mapendekezo na uchambuzi wa mabadiliko ya sheria yaliyoandaliwa na Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS).

Maeneo mengi ya mabadiliko yamependekezwa sawa kabisa, ila kwa sheria za madini, gesi na mafuta (Extractive industries), mapendekezo mengi yana mapungufu sana.

Mapendekezo mengi katika eneo hili nimeyakataa kwa kuwa yanaonekana kuwa ama superficial au yanapendelea wawekezaji.

Mapendekezo haya yakitekelezwa yatarudisha Tanzania miaka 30 nyuma.

Hakuna mtanzania anayejielewa anaweza kupendekeza kuondolewa kwa 16% ya hisa kwa taifa kwa kila mradi mkubwa wa uchimbaji madini (free carried interest shares).

Aidha, pendekezo la kuondoa 80% ya umiliki wa watanzania na kwenye managements za makapuni yanayotoa huduma katika miradi ya madini gesi na mafuta halifai.

Hoja kwamba watanzania hawana mitaji mikubwa wala utaalam wa madini gesi na mafuta hivyo sheria isitoe haki ya kisheria kwa makampuni husika kupewa 80% ya local ownership, ni hoja hafifu, haifai wala haikubaliki.

Pendekezo hili linamomonyoa kabisa hoja ya local content inayolenga kwa upended mmoja, kufungamanisha shughuli za madini, gesi na mafuta na sekta nyingine za kiuchumi na kijamii, na kwa upended wa pili, kuimarisha uwezo wa kiuchumi wa watanzania kupitia umiliki wa rasilimali zao. Kutoa manufaa ya kiuchumi kwa watanzania.

Sijajua kwa uhakika team iliyofanya kazi hii ilikuwa ya akina/iliongozwa na nani. Bado ninafuatilia hii kitu.

Hata hivyo tip niliyoipata hadi sasa ni kuwa team iliyoandika uchambuzi huu (dossier) iliongozwa na mwanasheria mmoja mmiliki wa kampuni ya wanasheria ambayo hutoa huduma za kisheria kwa kampuni za madini.

Sijui kwa nini TLS haikuona mkanganyiko wa mgogoro wa kimaslahi (conflict of interest) kisha kufanya uamuzi kabla ya kutoa kazi kwa team hii.

Bubelwa Kaiza - ujumbe huu usambazwe kwenye mitandao ya kijamii hadi uwafikie wadau wa pande zote - TLS na jamii ya kiraia, makampuni kwenye tasnia ya uziduaji na serikali (hususan wizara za madini na nishati)
 
Zingine kiasi gani?

Fanya hesabu mwenyewe. Tuliambiwa tutalipwa kiasi fulani na ACACIA na pesa iliyolipwa na kuoneshwa vitabuni ikawa KIDUCHU; hivyo tofauti ya Pesa tuliyokuwa tunadai na ile iliyolipwa ndio hiyo JIWE alitia kibindoni!! Hela mingi eti; ndio maana washirika wa Jiwe akina KABUDI hata siku moja hawazungumzii suala hilo!!
 
Kwani kwa mujibu wa ACACIA kupitia taarifa zao walizokuwa wanatoa kipindi kile, wao walikubali kulipa kiasi gani na mpaka JPM anakufa walikuwa washalipa kiasi gani?

Mbona kila kitu kilikuwa wazi kabisa,au unataka kuleta UDAKU tu kama ilivyo ada yenu?
 
Nimesoma mapendekezo na uchambuzi wa mabadiliko ya sheria yaliyoandaliwa na Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS).

Maeneo mengi ya mabadiliko yamependekezwa sawa kabisa, ila kwa sheria za madini, gesi na mafuta (Extractive industries), mapendekezo mengi yana mapungufu sana.

Mapendekezo mengi katika eneo hili nimeyakataa kwa kuwa yanaonekana kuwa ama superficial au yanapendelea wawekezaji.

Mapendekezo haya yakitekelezwa yatarudisha Tanzania miaka 30 nyuma.

Hakuna mtanzania anayejielewa anaweza kupendekeza kuondolewa kwa 16% ya hisa kwa taifa kwa kila mradi mkubwa wa uchimbaji madini (free carried interest shares).

Aidha, pendekezo la kuondoa 80% ya umiliki wa watanzania na kwenye managements za makapuni yanayotoa huduma katika miradi ya madini gesi na mafuta halifai.

Hoja kwamba watanzania hawana mitaji mikubwa wala utaalam wa madini gesi na mafuta hivyo sheria isitoe haki ya kisheria kwa makampuni husika kupewa 80% ya local ownership, ni hoja hafifu, haifai wala haikubaliki.

Pendekezo hili linamomonyoa kabisa hoja ya local content inayolenga kwa upended mmoja, kufungamanisha shughuli za madini, gesi na mafuta na sekta nyingine za kiuchumi na kijamii, na kwa upended wa pili, kuimarisha uwezo wa kiuchumi wa watanzania kupitia umiliki wa rasilimali zao. Kutoa manufaa ya kiuchumi kwa watanzania.

Sijajua kwa uhakika team iliyofanya kazi hii ilikuwa ya akina/iliongozwa na nani. Bado ninafuatilia hii kitu.

Hata hivyo tip niliyoipata hadi sasa ni kuwa team iliyoandika uchambuzi huu (dossier) iliongozwa na mwanasheria mmoja mmiliki wa kampuni ya wanasheria ambayo hutoa huduma za kisheria kwa kampuni za madini.

Sijui kwa nini TLS haikuona mkanganyiko wa mgogoro wa kimaslahi (conflict of interest) kisha kufanya uamuzi kabla ya kutoa kazi kwa team hii.

Bubelwa Kaiza - ujumbe huu usambazwe kwenye mitandao ya kijamii hadi uwafikie wadau wa pande zote - TLS na jamii ya kiraia, makampuni kwenye tasnia ya uziduaji na serikali (hususan wizara za madini na nishati)

Wengi wao kwenye hiko chama ni VIBARAKA tu wa MABEBERU,either kwa kujua au kutokujua!!
 
Kwani kwa mujibu wa ACACIA kupitia taarifa zao walizokuwa wanatoa kipindi kile, wao walikubali kulipa kiasi gani na mpaka JPM anakufa walikuwa washalipa kiasi gani?

Mbona kila kitu kilikuwa wazi kabisa,au unataka kuleta UDAKU tu kama ilivyo ada yenu?

Nenda kwenye taarifa aliyotoa JIWE kuonesha jinsi ACACIA walivyotuibia over the years ,halafu nenda kwenye AUDITED ACCOUNTS ZAO UONE kiasi gani pungufu ya zile tulizojulishwa kuwa tunawadai!! Kama walibadilisha ukubwa wa deni, what incentive did they have to reduce the debt?
 
Wengi wao kwenye hiko chama ni VIBARAKA tu wa MABEBERU,either kwa kujua au kutokujua!!
Kikwete kila siku yuko USA,ulaya, zile16% kwenye hisa na mirahaba jamaa wanataka kuziondoa, JPM alipigana sana na kamati ya ufundi ya akina kabudi. Leo hii JK anataka kuwarudishia mabeberu. Ni hatari sana wananchi wanaweza kulala barabarani turudie uchaguzi.
 
Wengi wao kwenye hiko chama ni VIBARAKA tu wa MABEBERU,either kwa kujua au kutokujua!!
Asiwe kibaraka utakula nini weye mburula!.....PC unayotumia kuweka utoporo wako unajua inatoka wapi?? unaweka tuu tako lenye naniliu .......na kutype km zuzu vile!
 
Haaah haaah mkuu usipanick kihivyo,tufanye basi umeshinda!!
 
Nenda kwenye taarifa aliyotoa JIWE kuonesha jinsi ACACIA walivyotuibia over the years ,halafu nenda kwenye AUDITED ACCOUNTS ZAO UONE kiasi gani pungufu ya zile tulizojulishwa kuwa tunawadai!! Kama walibadilisha ukubwa wa deni, what incentive did they have to reduce the debt?

Wewe si ndiye uliyeta hoja kwamba JPM Kapiga trillions kupitia ishu ya makinikia?

Sasa kwanini unaniambia mimi ndio niende kutafuta USHAHIDI wa ku support hoja yako badala ya wewe ?

Nani mwenye jukumu la kuthibitisha baina yangu mimi na wewe?
 
Makosa makubwa ni kuzuia kusemwa.

Kisheria zitabaki kuwa ni tuhuma mpaka ziwe proved beyond reasonable doubt.

Magufuli atasemwa tu hata iweje sababu kuondoka kazini kwa Prof Assad hakukuwa kwa kawaida , doa la zile Trillion 1.5 litaendelea kuwepo hadi siku zimeoneshwa zilikwenda wapi.

Ataendelea kuitwa fisadi mpaka siku Mayanga constructions ambao ni washutumiwa wakuu wakihusihwa ni kampuni yake watakapooneshs documents za ushindani wa zabuni maana kazi ya tume ya ushindani ndio ipo hapo pia duniani kote tenda lazima itolewe kwa uwazi na ishandaniwe yule aliye bora ndio atachukua ila hili halikua likifanyika ilikua ni "maelekezo toka juu"

Siku documents za manunuzi ya ndege ambazi ni pesa za watanzania zitakapoonekana ndio ataachwa kuitwa mwizi n.k tukumbuke Prof Assad alikua kazini na ni jukumu lake kukagua taarifa zihusuzo fedha kitaifa na kwa maslahi ya taifa ajabu hili lilikua halifanywi kwa kutekeleza "mzee hapendi kukaguliwa" hakuna nchi isiyotanguliza maslahi ya taifa ikafanikiwa .
 
Wewe badala ya kulia lia hapa ,kwanini usiweke hapa vithibitisho vinavyoonyesha huo wizi wake?

Mbona huyo Assad alisimamishwa na Magu mbele ya camera akaambiwa aseme hizo 1.5 trillion zilizopotea ni zipi,akajibu Hakuna hela iliyopotea?

Sasa wewe unavyosema zile 1.5 trillion,nikikuuliza zilikuwa wapi utaweza kunijibu?
 
Kuna kitu chochote ulichoandika kwenye hii thread ambacho mtu anaweza kujifunza?
Yaani hili swali ni la drs la pili... hivi

kwa nini mnafanya mitihani drsa zima na wengine mnafail wengine wanafaulu?? na mlifundishwa na walimu wale wale!! wkt uleule, mahali pale pale!! weye hili lako ni tatizo la msingi haitupi shida sisi!! nikawaida yenu wenye IQ ndogo!
 
Wewe badala ya kulia lia hapa ,kwanini usiweke hapa vithibitisho vinavyoonyesha huo wizi wake?

Mbona huyo Assad alisimamishwa na Magu mbele ya camera akaambiwa aseme hizo 1.5 trillion zilizopotea ni zipi,akajibu Hakuna hela iliyopotea?

Sasa wewe unavyosema zile 1.5 trillion,nikikuuliza zilikuwa wapi utaweza kunijibu?
Alisimamishwa tu pia waliokuwa wakimpinga wazi dikteta nini kilikua kikifuata?

Kila jambo na muda wake sasa kama kipindi kile watu walizibwa midomo sasa wataongea .

Wa kukanusha wapo wengi tu mkanushaji mkuu ni waziri mkuu ndio mtendaji mkuu wa shughuli za kiserikali .

Awamu ile ilijaa uongo na propaganda na huyu huyu ndio alitumwa kuja kusema jiwe yu mzima na ana mafile mengi ya kusoma ila muda ukamuumbua .

vuta subira wezi walikua wengi sana na muda utawaumbua kama ilivyokuwa kwa awamu ya 4 japo wezi walijulikana hata ikiwa haijatoka madarakani na uhuru wa kutaja wezi ulikuwepo kwa awamu ya 5 iliyoziba midomo watu stay tuned !
 
Back
Top Bottom