Sawa tumefika mbinguni. Je! tutakuwa tunaongea lugha Gani?

Kuna watu wanakariri kiarabu kwa kudanganywa eti Mungu ni Mwarabu na lugha pekee anayojua ni kiarabuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Daaah hayo ni maoni Yako mkuu.
 
Ukifika huku Mbinguni tutakupa utaratibu kijana usiwe na shaka, cha muhimu nii kupambana ili ufike, je utaweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…