Sawa tumefika mbinguni. Je! tutakuwa tunaongea lugha Gani?

tutaongea lugha ya malaika ndugu. hata Biblia inatambua kuna lugha ya malaika.
 
Wee nilikuuliza kama Kuna wanawake huko je wake zetu watakuwa na kazi Gani? Hujajibu ama nao watapewa mabwana yenye mitaimbo mkubwa maana husema sisi tuna viba100
 
Wee nilikuuliza kama Kuna wanawake huko je wake zetu watakuwa na kazi Gani? Hujajibu ama nao watapewa mabwana yenye mitaimbo mkubwa maana husema sisi tuna viba100
Mkuu nimekujibu kama ifuatavyo
Mke wako utakua nae...
Na utakua na hao wengine 99 ambao kiongozi wao atakua mke wako
.

Kingine huko hakuna vibamia wala vibajero wote ni matango pia tunakua na nguvu za ajabu yaani unapewa wanawake 100 ila unakua na nguvu za kumudu wanawake 200 assume tu..
 
Hao wako wengi kama njugu...na kila kitu wao wanaweza..sisi ni kula tuu na kunywa...
Kwa wenzetu waleku waislamu watakuwa wako busy na mabikra 70...yani huko sipati picha...
Ahahahahah hao mabira 70 ni kwa wale ambao wanapambana jihadi..
Maana kimahesabu ipo hivi mkuu
Wanawake kwanza mnapewa 100 kwa wote

Then kwa wale ambao ni jihad wanapewa ma bikira unaambiwa hiyo bikira haiishi yaani unafanya leo kesho kitu new..

Kama una swali lingine unaweza uliza mana huu ni uwanja wangu wa nyumbani
 
Asante sana mkuu kwa kunielewesha vyema...
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒpatakua hapatoshi huko...
 
Asante sana mkuu kwa kunielewesha vyema...
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒpatakua hapatoshi huko...
Picha linaanza hakuna watoto kule wote tunakua umri mmoja wee assume tu...

Kingine hakuna kujisaidia yaan uchafu unatoka kwa njia ya jasho...

Yapo mengi mkuu ila kwa leo tuishie hapa maana elimu hii kuna wenzako wanalipia 2k mkuu
 
Hatari kabisa fundi manyumba...kumbe ni darsa kabisa la 2k...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hatari kabisa fundi manyumba...kumbe ni darsa kabisa la 2k...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ndio mkuu per day...
Hizo ni intro tuu kuna mambo mengi huko wee acha tuu...

Mi kwa hali yangu yote hii ya ugumu wa maisha kama mfupa..

Ila nikiwaza hizi raha huwa nasahau kila kitu najikuta natabasamu tuu nasema ""mimi nina warembo wangu 100 akhera huko na majengo ya kushato """. Hapo naagiza chapati zangu mbili na marage afu napoa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwahiyo hata unakibamia unawekewa ya punda mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…