Sawa, Vijana wa Kenya wana haki kuandamana kupinga utawala dhalimu. Lakini Agendas zao zimechukuliwa na wanasiasa

Sawa, Vijana wa Kenya wana haki kuandamana kupinga utawala dhalimu. Lakini Agendas zao zimechukuliwa na wanasiasa

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
34,954
Reaction score
80,256
Kenya wakipita 2027 vizuri wamshukuru Mungu. Mwaka 2007 walipouana mambo yalianza hivi hivi.

Kuenguliwa kwa Riggy G kummemfanya afanye siasa za ukabila waziwazi. Hata haogopi kutamka kauli zinazoweza/japo zimeanza kuligawanya taifa kikabila.

Ukiwaskia wanasiasa hasa wa Bonde la ufa hoja yao kubwa imekuwa Kuna amani Kenya pale ambapo anayetawala ni Mkikuyu. Wanadhani haya malalamiko yote yamesababishwa na Mkale kuwapo madarakani.

Riggy G anaamini asilimia kubwa ya vijana wanaokamatwa na polisi ni Wakikuyu. Huku Waziri wa mambo ya ndani akiliamuru jeshi la polisi kutumia mitutu ya bunduki pale panapohitajika.

Kwa kauli kadhaa zinazotoka vinywani vya baadhi ya wanasiasa kama hawataridhiana kabla ya 2027....tutegemee machafuko.
 
Cc vijana WATANZANIA n lini tutaitoaa CCM hapo ilipoo ilii tuwee na maamuzi na tusikilizwee kwenyee taifa letuu🥷🥷
 
Cc vijana WATANZANIA n lini tutaitoaa CCM hapo ilipoo ilii tuwee na maamuzi na tusikilizwee kwenyee taifa letuu🥷🥷
 
Back
Top Bottom