Hapa Tanzania,waislam waliosoma ni kutoka Zanzibar,..Ninyi wafuasi wa mwamedi mna uelewa mdogo sana
Unaulizwa suala hili unaleta jambo ambalo halihusiani
Ndio maana hata management hamjui, hata shule zenu zimejaa ZERO kama vichwa vyenu
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Wanasema anaeanza kukejeli na kutoa matusi badala kujibu hoja,basi ujue kashindwa kujibu hoja,hana hoja..
Lete ukweli kaka,tuko hapa kuelimishana
Sasa unaniuliza mimi tena ? Wewe si ndiyo umedai hayo, kwahiyo yathibitishe, naona unajiongezea mzigo mwingine. Maliza hili,sijaona mfano wa aya ulio uweka zaidi ya ile hadithi ukailinganisha na kisicholinganishika, sasa nasubiri hizo aya ambazo alizisikia mtaani kisha akatuwekea.Soma tena uelewe...kuna mifano mi3 hapo nimesema..miwili ya Quran mmoja wa hadith.
(And btw hiyo Hadith inasema Allah ndo alisema....kwahyo kuna baadhi ya maneno ya Allah hayapo kwenye Quran au ndo zile aya zilizopotea?)
[emoji38][emoji38]Nacheka sana....uko slow sana kuelewa..Rudi juu kuna mifano tushaiongelea huu uzi..na nilikutajia kwenye hio post..kama hadi picha huoni basi sio kosa languSasa unaniuliza mimi tena ? Wewe si ndiyo umedai hayo, kwahiyo yathibitishe, naona unajiongezea mzigo mwingine. Maliza hili,sijaona mfano wa aya ulio uweka zaidi ya ile hadithi ukailinganisha na kisicholinganishika, sasa nasubiri hizo aya ambazo alizisikia mtaani kisha akatuwekea.
Pili, kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?
Kwanza hapa hakuna uhusianowa kutokuweka jibu la swali langu na kuelewa kwangu, ungekuwa umeweka jibu la swali langu ningeelewa sababu haya mambo mepesi sana.[emoji38][emoji38]Nacheka sana....uko slow sana kuelewa..Rudi juu kuna mifano tushaiongelea huu uzi..na nilikutajia kwenye hio post..kama hadi picha huoni basi sio kosa langu
Swali gani sijakujibu?
uhusiano upo maana naweka jibu halafuKwanza hapa hakuna uhusianowa kutokuweka jibu la swali langu na kuelewa kwangu, ungekuwa umeweka jibu la swali langu ningeelewa sababu haya mambo mepesi sana.
Mimi hiyo mifano sijaiona, kama umeiweka iweke tena hapa, usipoteze muda.
Swali ambalo hujajibu ndiyo hilo la ushahidi wa kuonyesha kwamba kila kitu alichokuwa anasikia mtume mtaani anakiweka kwenye Qur'aan ? Sasa unashibdwa nini kuweka hizo aya za mtaani ?
Nimecheka sana. Hili nilijua wazi kwamba nalo huliwezi.uhusiano upo maana naweka jibu halafu
huelewi kama nimejibu..si napoteza mda wangu
sasa mimi sifanyagi kazi ya kanisa ya kurudiarudia kwa hilo nakupa pole...
angalia pale ulipouliza kama sikukujibu ryt away.
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38] ama kweli akili gumkichwaNimecheka sana. Hili nilijua wazi kwamba nalo huliwezi.
Sisi tunaandika elimu wewe unaandika unachojisikia.
Kazi yangu nimemaliza.
Azarel uko wapi,mwanangu,Je umesoma hiyo mistari ya Biblia niliyokuwekea hapo juu???Akili zetu zimewekwa kichwani,tunaamini ya Isa aka Yesu na madhumuni yake ya kuletwa na Mungu hapa Duniani
Tunaamini kuwa Yesu aka Isa ni mjumbe wa Mungu kama wajumbe wengine walioletwa na Mungu kuwaongoza binaadamu..
Yesu aka Isa aka Yasu aka Jesus aka Joshua,aliwambia wafuasi wake kuwa yeye kaletwa kwa kuyaendeleza ya Musa..soma Matayo 5:17
Yesu aliwambia wafuasi wake kuwa yeye kaletwa kwa kuwaokoa wana Wa Israeli tu waliopotea(wenye dhambi)..soma Matayo 15:24
Yesu aliwambia wafuasi wake kuwa atarudi duniani kuja kuwasuta wale wanaopotosha jina lake,soma Matayo 7:21-23
Mkuu waislam akili zetu ziko sawa tunaamini na tunayakubali yale aliyoyahubiri na aliyotenda Yesu ..
Waislam hatuli nguruwe,tunakata govi,hayo yote ni mafunzo ya Yesu,na tunamuombea kila tukimtaja
Marehemu Bob Marley aliwahi kuimba kwenye nyimbo yake inayoitwa Get up Stand up..
"We are sick and tired hearing that almighty God is living man
you can fool some people some time but you can't fool all the people all the time"...
Tafakari,jiulize wewe je akili yako iko sawa!!? Kuamini kuwa Binadamu ni Mungu!?
Mbona mgumu sana kuelewa??!!
We jamaa kichwa sanaHii sentensi inasimulia kipindi Cha Hitler[emoji116][emoji116]
"Hitler alikuwa dikteta,,aliua wayahudi wengi na alitaka ujerumani itawale dunia na pia aliingia vita na Uingereza,Urusi na Viunga vyake.Alisababisha vita vya pili vya dunia."
[emoji115]Hiyo sentesi inasimulia kipindi Cha hitler..Je imeandikwa kipindi cha hitler?
Duuuh!! Kwahiyo hiyo nayo ni scientific fact?Mkisikia habari za Quran roho zenu huwa zinawakeleketa sana
Aya za sayansi zipo nyingi sana katika Quran ukizitaka zitakuja kama mvua maana aliyeumba ulimwengu ndio huyohuyo aliyeileta Quran
Chukua na hi nakupa kama zawadi
Quran 21:33.
Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea.
Kumuita mtu mjinga bila kuonyesha ujinga kwenye hoja yake ni zaidi ya ujinga.
Hiyo ndio maana ya KUSHUSHWA usifikirie kuwa kitabu kizima kimeanguka kutoka mbinguni..
Hahaha!! Hawa jamaa wana stori za kitoto sana .Sio adam tena?
Kwahiyo mchizi hapo chini kanidanganya?
Yani unatumia quran kuthibitisha Quran? Uthibitisho wa aina gani huu?Hizo Aya zinasimulia kipindi adam alipotaka kuumbwaView attachment 1675762
Yani unatumia quran kuthibitisha Quran? Uthibitisho wa aina gani huu?