Scars haaamini kwenye uwepo wa Mungu lakini anaomba dua na kufanya maombi

Game ya Bournemoutn na Luton masaa yaliyopita imekuwa abandoned/imeahirishwa baada ya mchezaji kuanguka uwanjan na kuzimia dakika ya 65, yanatokea acha kukaza kichwa
 
Ok nimekuelewa kwamba ndani ya sekunde 30 dharula inaweza kutokea au bomu linaweza kupigwa.

Kuhusu kuwa na uhakika mechi kuisha? Najua mechi inaisha ndani ya dk 90 labda itokee ziongezwe dakika, kinyume na hapo labda itokee dharula.

Dakika haziongezwi ila zinafidiwa zilizopotea kukamilisha zile 90, ni dakika za fidia sio nyongeza..zipo ndani ya zile 90
 
Huyu jamaa ni mtu wa dua na maombi lakini anasema hakuna Mungu. Ninaamini alipitia changamoto za kimaisha hadi akamchukia Mungu lakini deep down anafahamu uwepo wake.
Scars

Uzi ufungwe....
 
Game ya Bournemoutn na Luton masaa yaliyopita imekuwa abandoned/imeahirishwa baada ya mchezaji kuanguka uwanjan na kuzimia dakika ya 65, yanatokea acha kukaza kichwa
Hiyo ni sawa na ajali ni nje kabisa ya upeo wangu, mimi sijasema kwamba najua haitotokea ajali na mechi lazima iishe na itaisha salama. Sijajua mnashindwa wapi kuelewa?

Hebu nipe mifano kwa kutumia hilo neno "hakika" ambavyo wewe unaona ni sahihi kutumika.
 
Dakika haziongezwi ila zinafidiwa zilizopotea kukamilisha zile 90, ni dakika za fidia sio nyongeza..zipo ndani ya zile 90
Ingekuwa hivyo basi ingekuwa zinafidiwa humo humo hadi kukamilisha dk 90 kisha ndio mechi iishe ili tusiite dk za nyongeza.
 
Nazungumzia atheism.
Simba imeshinda dhidi ya Wydad kama nilivyokuwa natumai

Saizi sina imani tena kuhusu matokeo ya Simba na Wydad

Imani ishakuwa transformed kuwa uhakika

Kuna possibility yeyote ya uhakika huu kubadilika na kuja kivingine?
 
Hivi dua na maombi kuna tofauti?
Dua ni sort of wishing or hope for something.

Application nayo ni maombi watu wanaomba nafasi za kazi.

Mtu akikuambia nimefanya maombi usikurupuke tu kumjibu "Mashaalah Allahu Akbar" muulize maombi gani isije ikawa anazungumzia kafanya maombi ya mkopo wa HESLB
 
Simba imeshinda dhidi ya Wydad kama nilivyokuwa natumai

Saizi sina imani tena kuhusu matokeo ya Simba na Wydad

Imani ishakuwa transformed kuwa uhakika

Kuna possibility yeyote ya uhakika huu kubadilika na kuja kivingine?
Ulikuwa unaamini simba itaifunguka wydad au mechi ya simba na wydad itaisha salama bila kutokea ajali wala mabomu?
 
Maombi ni nini? umesema Dua ni wishing au Hope, je maombi ni nini?
 
Ulikuwa unaamini simba itaifunguka wydad au mechi ya simba na wydad itaisha salama bila kutokea ajali wala mabomu?
Imani yangu niliwekeza kwenye matokeo ya ushindi sio dharula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…