Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Hapo haujajibu nilichouliza, kwa huo mfano unanibakiza na maswali kwamba uhakika unapatikana kwa mambo ambayo yamepita tu kama hiyo mechi ya simba na kagera au vp?Jambo ambalo nauhakika nalo ni Simba kushinda 3-0 dhidi ya Kagera sugar
Kuna chansi katika hilo ya matokeo kubadilika kuja tofauti?