Scopolamine Burundanga ni nini?

Mkuu, Nimeuona huku kwetu Umasaini. Ngoja niuoteshe. Angalia tunda lake, je linaliwa?


 
Usihofu, wacha mlango wazi nakuja kulala na wewe leo hii. Nahapa, sitokugusa ila sitokuwa na nguo ya ndani, just in case.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
aina hii ya uwizi ni hatari. nilikumbana na kasheshe kama mwezi mmoja ulioisha niliteremka kwenye basi ubungo stendi ya mkoa natokea mkoani kama saa mbili hivi usiku. Aisee jamaa hata simjui akanipita kwa mbele tunaelekea uelekeo mmoja akanimbia ahsante bwana nikabaki namshangaa sikumjibu kwa kuwa kwanza simjui halafu sijui aninishukuru kwa lipi nililomfanyia. kuanzia hapo macho na ubongo vikawa havina ushirikiano vikabaki vinabishana. ni hali ambayo ni ngumu kuielezea. nilitoka nje ya stendi ya ubungo ili nitafute usafiri lakini nikakuta barabara zote zimepinduka hujui kaskazini wapi, kusini wapi, mashariki wapi. badala ya kuelekea mataa ya ubungo ndio direction yangu nikashtuka naiona blue pearl mbele yangu. nikageuza kurudi ikabidi niwe mbabe sana kila aliyenisogelea kujaribu kuniuliza kitu namjibu kwa ukali anaondoka lakini baadaye nikaja kugundua watu wanaofanya hivyo wanakuwa wengi na wanakuwa wanakufutilia kuangalia iwapo dawa yao imefanya kazi vizuri wakuibie. nahisi watakuwa walimlaumu sana huyo mwenzao aliyenipulizia dawa kwani dose haikuniingia vizuri kwani bado nilikuwa naweza kusoma vibao na ndiyo vilinisaidia kuokoka kwenye hili sakata.Baada ya kugeuza direction kuanza kurudi mataa ya ubungo nikaamua kuwa sasa mimi siangali tena hizi barabara zilizopinduka nikaanza kusoma vibao na kufuata direction ya vibao mpaka nikafika ninapopandia daladala nikaelekea nyumbani. nikisema barabara zilizopinduka maana yake kwa mfano ukiwa mataa ya ubungo unataka kwenda buguruni wewe unaanza kwenda mwenge na unaona ni sahihi kabisa au unataka kwenda kimara wewe unajukuta unaanza kwenda shekilango na hauna wasiwasi kabisa. Namshukuru Mungu kwa kuniokoa na hao vibaka wa ubungo stendi lakini najiuliza vipi kwa mgeni ambaye anafika dar kwa mara ya kwanza halafu basi linaingia usiku halafu akutane na hao vibaka?
 
Mkuu Mshana J.R hamna namna ya kujikinga ?, kutokana na ushuhuda wa mjumbe mmoja hapo juu, ni hatari aisee, ongeza darasa kidogo, maana kwa misongomano ilivyo kugusana na mtu mjini ni rahisi sana, tunajilindaje zaidi?
 
Mkuu huu mmea kuna sehem fulani nimeuona nisadie jinsi ya kuumix ili niwaharibie wabaya wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…