Scopolamine Burundanga ni nini?

Mkuu Mshana J.R hamna namna ya kujikinga ?, kutokana na ushuhuda wa mjumbe mmoja hapo juu, ni hatari aisee, ongeza darasa kidogo, maana kwa misongomano ilivyo kugusana na mtu mjini ni rahisi sana, tunajilindaje zaidi?
Kinga kuu ni kuepuka kuwa na mgusano wa karibu na watu usowafahamu kwenye mikusanyiko na misongamano ya watu wengi
Ni vema wakati wote kuchukua tahadhari na watu walio karibu yako
 
Mkuu; Hebu tumegee kidogo kuhusu matunda yake na mbegu zake.Je, zina matumizi gani?
 
Kuna wimbo wa Celia Cruz na La Sonora unaitwa Burudanga, sijui maana yake, ilitokea kuupenda tu na hata unachoongelea hapa sikielewi.
 
Kuna wimbo wa Celia Cruz na La Sonora unaitwa Burudanga, sijui maana yake, ilitokea kuupenda tu na hata unachoongelea hapa sikielewi.
Maana yake ndio hii sasa hapa
 
Naomba msada wako kaka mshana

Unawezaje kuzikwepa rana Na mikosi iliyo kwenye family

Mama mzazi kuna mambo kafanya yanaitafuna family

Katufunga wanae tusifanimiwe Wala kupata wake

Nifanyeje kujitoa kwenye hi mikosi

Naitaji msada wako
 
Mmmh mama mzazi kabisa kafanya haya? Umejuaje? Hakuna namna zaidi ya yeye kutengua... Nahitaji maelezo ya kina kuweza kuweza kuona tunaanzia wapi!
 
Mmmh mama mzazi kabisa kafanya haya? Umejuaje? Hakuna namna zaidi ya yeye kutengua... Nahitaji maelezo ya kina kuweza kuweza kuona tunaanzia wapi!
Kunakipindi baba mzazi aliwai kutueleza mambo aliyotendwa Na mama .kulingana Na sisi kujazwa chuki Na mama ju ya baba yetu nilipuzia .

Baba alidai kuwa kafungwa Na mama Kwa mambo matatu

Akuna kuoa tena .akuna kupata pesa Wala kupata mwanamke mwingine

Nilipuza sababu nililishwa maneno kuwa baba Ni Mbaya

Nilipo maliza 4m 4 nikaja dar.lakini maisha yangu akunadalili za kufanikiwa

Ndipo nilipo kumbuka mambo aliyo ongea Mzee .

Nilimwambia baba .mama amekufunga ww lakini amekifunga Adi uzao wako ambao Ni ss

Baba akanijibu kuwa nashukuru umejua mwanangu

Amefunguka mengi mazito ambayo siwezi kuyandika apa
 
Njoo PM kama hutajali
 
Aiseee...kama ushuhuda huu una kweli " basi pole sana..... watu wengine bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…