πΆMara nataka iphone nikakanunulia apple kakatafuna kisha nikakatafuna πΆ mi huwa napenda huu mstari πWatoto wanapenda asali ππ
Watoto hawapendi ukali ππ
Nilikuwa nawapenda sana team WEUSIII
Hadi G nako akawa crush π€£π€£π€£
Hii ngoma ina beat zuri mnoHuu unaupata?View attachment 3543746
Unataka masaji wakati we mwenyewe sauna π₯
Utakapiga deki kakikudekeza ππΆMara nataka iphone nikakanunulia apple kakatafuna kisha nikakatafuna πΆ mi huwa napenda huu mstari π
G nako ni mwehu πUtakapiga deki kakikudekeza π
Mno mnooo ππHii ngoma ina beat zuri mno
Sahv wamekuwa wakubwa πG nako ni mwehu π
ππ Nakosaje aiseeNa hii unaijua Depal View attachment 3543795
hivi karibu nyimbo zote za weusi zilikuwa zinapigwa beat na nahrel si ndioππ Nakosaje aisee
Na crush yuko mwanzo mwanzo tu anajimaliza na vimatusi vyake
Sio zote, katengeneza chache. Nyingi zimetengenezwa na producers tofauti tofauti kama Luffa, Paul maker, ammy wave, wanene, goncha, s2keezy, bugaleehivi karibu nyimbo zote za weusi zilikuwa zinapigwa beat na nahrel si ndio
Hivi Young D yukwapi ππ