Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Goma kali sanaCenzo kama Vincenzo Jr View attachment 3544831
Asanteeenakwede97 enjoy hii nyimbo mrembo wanguView attachment 3544820
Ipo Gooddosho12 jumatatu inaendaje?View attachment 3544830
Mi ni mzee wa racing na motal kombat 😁 labda na fifa kidogo na zamani Dlsdosho12 hivi hi ngoma ilikuwaga kwenye pro evolution soccer ganView attachment 3545233
Motal combat nimeicheza kipindi cha ps1 kitambo hicho kumshinda guru ilikuwa balaa. Nlikuwa namtumia san raiden au liu kang sijui kanMi ni mzee wa racing na motal kombat 😁
Mi namtumia sana scorpion na lile kubwa linaitwa khan kwenye story ni baba yake na kile kisichana anachokipenda luo kangMotal combat nimeicheza kipindi cha ps1 kitambo hicho kumshinda guru ilikuwa balaa. Nlikuwa namtumia san raiden au liu kang sijui kan
Scorpion hamna kitu kule bora sub zero alikuwa na fatality ya motoooMi namtumia sana scorpion na lile kubwa linaitwa khan kwenye story ni baba yake na kile kisichana anachokipenda luo kang