SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

unasemea sonya yule anayetumia bastola😄
Uzee huu hata sikumbuki😂

Mortal Kombat features a vast, iconic roster of fighters across decades of games, renowned for brutal fatalities and unique fighting styles. Key characters include Scorpion, Sub-Zero, Liu Kang, Raiden, Sonya Blade, Johnny Cage, Kitana, and Mileena. The newest entry, Mortal Kombat 1, reimagines fighters like Kung Lao, Baraka, Reptile, and Shang Tsung
 
Kung lao nahisi atakuwa yule mwenye kofia ya kisu akiirusha inakata vichwa😄 mortal kombat raha sana kucheza hasa ukiwa na stress ni kwenda kupiga watu kwenye game 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…