Wampe timu mzee magoma sasa.saidi magoma ramovic 😁
Uzi tayari..?Kuelekea mechina Namungo,kocha mpya wa Yanga akiongea na waandishi wa habari amedai hakujua kama Yanga ni timu kubwa kivile mpaka alipotua nchini,dunia hii ya mitandao anafeli wapi kuifuatiliatimu mtanaoni.
Pia amedai jina lake linatamkwa saidi sio sead kama lInavyoandikwa
Hii nayo ni kali nyingine anatoaKuelekea mechina Namungo,kocha mpya wa Yanga akiongea na waandishi wa habari amedai hakujua kama Yanga ni timu kubwa kivile mpaka alipotua nchini,dunia hii ya mitandao anafeli wapi kuifuatiliatimu mtanaoni.
Pia amedai jina lake linatamkwa saidi sio sead kama lInavyoandikwa
Huyii kocha ni chale chale hiviiii mimi kama simuelewiiiKuelekea mechina Namungo,kocha mpya wa Yanga akiongea na waandishi wa habari amedai hakujua kama Yanga ni timu kubwa kivile mpaka alipotua nchini,dunia hii ya mitandao anafeli wapi kuifuatiliatimu mtanaoni.
Pia amedai jina lake linatamkwa saidi sio sead kama lInavyoandikwa
Pasaka mbali sanaHuyu hafiki pasaka
Mbagala ulipo wewe na South Africa wapi watu wanatumia zaidi mitandao??? Mengine muwe mnaacha kuandikaKuelekea mechina Namungo,kocha mpya wa Yanga akiongea na waandishi wa habari amedai hakujua kama Yanga ni timu kubwa kivile mpaka alipotua nchini,dunia hii ya mitandao anafeli wapi kuifuatiliatimu mtanaoni.
Pia amedai jina lake linatamkwa saidi sio sead kama lInavyoandikwa
Timu inafungwa mara 4 mfururizo kwanini isikulikaneAlikuwa anaijua Simba
Kama wewe unavyoshangaana mimi nanshangaa.Mbagala ulipo wewe na South Africa wapi watu wanatumia zaidi mitandao??? Mengine muwe mnaacha kuandika