Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 1,653
- 3,336
Pasaka mbali zaidPasaka mbali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pasaka mbali zaidPasaka mbali sana
Kasema ukweli, Yanga kimataifa haijulikani. Hata mimi nimefanya tafiti nchi kadhaa nilizotembelea wanamjua mnyama...Kuelekea mechina Namungo,kocha mpya wa Yanga akiongea na waandishi wa habari amedai hakujua kama Yanga ni timu kubwa kivile mpaka alipotua nchini,dunia hii ya mitandao anafeli wapi kuifuatiliatimu mtanaoni.
Pia amedai jina lake linatamkwa saidi sio sead kama lInavyoandikwa
Ana asili ya BosniaHuyu ni mjerumani wa mchongo wakimbizi toka Uturuki kama akina Ozili.
Wabosnia hao.Huyu ni mjerumani wa mchongo wakimbizi toka Uturuki kama akina Ozili.