Sead Ramovic aibua mpya,adai hakujua kama Yanga ni timu kubwa mpaka alipokuja nchini, adai jina lake linatamkwa Saidi''

Kasema ukweli, Yanga kimataifa haijulikani. Hata mimi nimefanya tafiti nchi kadhaa nilizotembelea wanamjua mnyama...
 
Mi mwenyewe siifahamu Yanga pamoja na kufuatilia ligi kuu soka Tanzania bara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…