Seba aliyeandika meseji kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho kwenye ghorofa ya Kariakoo lililoanguka, akutwa amefariki

Hivi kumbe Wanajeshi kazi zao zote huwa ni za kutumia nguvu tu peke yake bila akili??
Hilo eneo halikuhitaji watu elfu moja kwanza ni eneo lililokua linahitaji kuwepo na hewa ili watu waliofukiwa wapate Oxygen, alafu kitendo cha kujaza watu elfu moja kama unavyotaka ni hatua nyingine ilikua inaenda kuhatarisha uhai wa watu, kazi isingefanyia kwa uangalifu, narudia tena ni eneo lililokua linahitaji akili na siyo nguvu, kama Front loader zipo za kutosha wangehitaji nguvu kifusi kingezolewa ndani ya siku 1 ila asingetoka hata mmoja hai
 
Its painful 😣

Hiv kam jengo moja ndio limeanguk tena ndan ya jiji kubwa na karbu krbu na fire (waokozi) lakn zoez la ukoaji watu halijakamilika itakuwaje siku magorofa 5/20 yakiangukia watu huko mikoa ya pembezon 😐😐
Jengo moja siku 10..
Majengo 10 = siku 100.
Survival chance ni 0.0% kwa siku 100 undergroud.
 
Je, kwenye hiyo comment yangu ya awali uliyonukuu hukuona kwamba nimegusia suala la kuletwa Mitungi ya Gesi za Oxygen kwa ajili ya kuwapatia hewa safi Watu waathirika waliokuwepo chini ya jengo kwenye basement floor? Ni kweli kwamba haukuona kitu hicho nimeeleza kwenye comment yangu hiyo?
 
Deep sorrow!

But all in all, vifo vya Watu hawa kamwe havikusababishwa kwa kudra ya Mungu, Bali ni kutokana na kuwepo kwa janga la rushwa, uzembe wa makusudi, ufisadi na kushindwa kuwajibika ipasavyo.
Vifo vingi nchini ni uzembe wa siasa na mfumΓ³ wa uongozi Tanzania. Wakulaumiwa ni Nyerere (mnayemuita baba wa Taifa) alieruhusu janga hili ccm iendelee kwenye mfumo wa vyama vingi. Ilitakiwa ccm ife ipotee kwa sababu ni chama dola kilichokuea na matawi mpaka jeshini[ yaani majeshi yote na watu wote katika usalama wa Taifa walikuwa ccm],
katiba mpya ingeanzishwa na vyama mbadala vipya kukiwa na masharti laini kwa wanachama.
Sio eti viongozi wote lazima wawe ccm. Najua wachache sn watanielewa, machawa wata-dislike. Waliruhusu vyama vingi wakijua kuna namna ya kuviangamiza
 
Apumzike kwa amani
 
HATUWEZI KUACHA KUIMARISHA VIKUNDI VYA KUMSIFU CHURA KIZIWI ETI ILI TUFANYE HAYO UNAYOTAKA,HAYO FANYA WEWE.
 
Deep sorrow!

But all in all, vifo vya Watu hawa kamwe havikusababishwa kwa kudra ya Mungu, Bali ni kutokana na kuwepo kwa janga la rushwa, uzembe wa makusudi, ufisadi na kushindwa kuwajibika ipasavyo.
Mfumo ovu na wakishetani chini ya CCM ndiyo chanzo cha vifo hivyo.

Kuna mahali Mkuranga huko nilipita nikaona wamama na watoto migongoni wamejazana nnje ya duka la dawa,nilipouliza kunani, nikaambiwa wanatibiwa.

Nikamuuliza huyo mwenyeji,wamatibiwaje kwenye duka la dawa muhimu ( DLDM)!!??
Uongozi wa mtaa unajua, nikaambiwa wanapelekewa fungu lao mpaka Wilayani na Halmashaurini.
 
Its painful 😣

Hiv kam jengo moja ndio limeanguk tena ndan ya jiji kubwa na karbu krbu na fire (waokozi) lakn zoez la ukoaji watu halijakamilika itakuwaje siku magorofa 5/20 yakiangukia watu huko mikoa ya pembezon 😐😐
Raia wa gaza wakituona watashangaa sans
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…