Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Ukichunguza sana kuhusu suala hili unaweza kuona kwamba kama vile kulikuwa na hujuma kuhusiana na ajali hiyo ya kuporomoka kwa ghorofa huko Kariakoo, jaribu kutazama video hii unaweza ukabaini vitu fulani fulani hivi.Kama marehemu aliweza mpaka kutuma sms maana yake unaweza/tungeweza kulocate point alipo na kufanya rescue.
Kale kaghorofa ni kadogo sana kushindwa kuokoa watu wote ndani ya siku tatu.
Kuna gaps kwenye rescue team yetu na mfumo mzima kwenye majanga kama haya.
Hatuwezi kutumia wiki mbili kufanya rescue na kutoa miili kwenye ajali ndogo kama ile, sidhani kama tunahitaji zaidi ya siku tatu kuokoa walio hai kwenye jengo kama like.
TUJITAFAKARI.
Majaliwana mwakinyo ndio waokozi waliotegemewaIts painful 😣
Hiv kam jengo moja ndio limeanguk tena ndan ya jiji kubwa na karbu krbu na fire (waokozi) lakn zoez la ukoaji watu halijakamilika itakuwaje siku magorofa 5/20 yakiangukia watu huko mikoa ya pembezon 😐😐
Nazn ikifanyik kam gaza tumekwishaRaia wa gaza wakituona watashangaa sans
Nakazia📌📌📌📌📌Imani yangu inaniambia walokufa ni wengi sana kuliko tunaotangaziwa kwa sasa wanaotangazwa ni wale waliopostiwa mtandaoni ndugu zao wakiwatafuta
Ni taamaa ya fedha na mali za mwenyewe jengo, na tamaa za fedha kwa walioruhusu na kutoa kibali ujenzi chini ya jengo la ghorofa lililokamilika na linalotumika tayari 🐒Deep sorrow!
But all in all, vifo vya Watu hawa kamwe havikusababishwa kwa kudra ya Mungu, Bali ni kutokana na kuwepo kwa janga la rushwa, uzembe wa makusudi, ufisadi na kushindwa kuwajibika ipasavyo.
Sawa Mufti M'shati.Kufa hali ya kuwa ni mkristo ni hasara kubwa sana.
Ndugu Watanzania.Kijana Seba aliyeandika message kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho siku mbili zilizopita.
View attachment 3158342
Mwili wake umeopolewa mda huu ukiwa tayari umeshaanza kuaribika kwenye jengo la Kariakoo.. Tayari mwili wake umepelekwa kwenye hospitali ya Amana kwa kwa taratibu nyingine za kuhustili..Roho ya marehemu ipumzike mahara pema peponi 😭😭 Inasikitisha sana jamani Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un💔🙏
Aulizwe PM Majaliwa.😭😭 Inauma sana, hivi mmiliki wa Jengo yuko wapi hadi sasa?
Welcome to africa , everything ni uzembe and rushwaDeep sorrow!
But all in all, vifo vya Watu hawa kamwe havikusababishwa kwa kudra ya Mungu, Bali ni kutokana na kuwepo kwa janga la rushwa, uzembe wa makusudi, ufisadi na kushindwa kuwajibika ipasavyo.
Umemjibu vizuri..Dogo tuliza mihemko hiyo kazi haikuhitaji nguvu ilihitaji akili, kama unafikiri lilikua linahitaji nguvu basi hadi muda huu kifusi chote kingekua kimezolewa ila hata ambao wametoka hai pengine wangefia pale wote kwahiyo heshimu juhudi za watu au nenda wewe kaonyeshe ujuzi
Tuwakatae CCM.Unazand ni wasaw uokoz wa jengo moja uende zaid ya siku tatu ___? Kwa karn hii mkuu
Inasemekana lile jengo lina wamiliki zaidi ya wanne...Bila shaka atakuwa ni Kada mbobezi wa CCM maana ukishakuwa mwanachama nchi hii hakuna wa kukugusa.
Hii ndiyo akili unatumia kuvuka barabara au kuna nyingine?Angekufa mwislam, kwake kifo Cha kuangukiwa na jengo ingekuwa ni shahada, lakin wapi mtu anakufa badala ya kuomba istighfaar anahangaika na mtoto, na Hali hajui yeye huko aendako Kuna Hali gani Ewe Allah nijaalie mwisho mwema
Pesa zinapelekwa pale wajing walipoelekeza akili zao.UGLY PAIN.Halafu taifa star 700mil.tunaangamia
Achana nao hao wanaotumia hili janga kuonesha hasira zao kwa serikali.Dogo tuliza mihemko hiyo kazi haikuhitaji nguvu ilihitaji akili, kama unafikiri lilikua linahitaji nguvu basi hadi muda huu kifusi chote kingekua kimezolewa ila hata ambao wametoka hai pengine wangefia pale wote kwahiyo heshimu juhudi za watu au nenda wewe kaonyeshe ujuzi
Wamiliki hata wakiwa 1000 haileti tofauti kama wamefanya hatua zote za kuajiri mshauri, wamepata kibali cha ujenzi na walikuwa na mkandarasi wa daraja na ujuzi unaotakiwa. Anayejua kazi za ujenzi zinaenda vizuri ni mkandarasi, mhandisi wa jiji na mshauri wa mradi. Mwenye nyumba hahitajiki kuwa na ujuzi wowote zaidi ya kutoa mahitaji yake, kulipa mahitaji yote mpaka akabidhiwe mradi.Inasemekana lile jengo lina wamiliki zaidi ya wanne...
Utakuwa una matatizo makubwa sana kwenye akili zako.Achana nao hao wanaotumia hili janga kuonesha hasira zao kwa serikali.
Kuna viumbe wengine wakawa wanasema ni kheri wangeachwa wananchi tu wafukue kwa mikono, serikali hamna ilichofanya wala hivyo vikosi vya uokozi hamna walichofanya...
Mtu kama hutu unaona kabisa ana chuki na serikali kwamba hata ifanye nini yeye hawezi ona jema lolote.
Mtu analalama ati kuokoa watu wiki zima ilhali yupo namtumbo si ajabu hata picha tu za jengo lilivyoanguka hajaziona, hajui shughuli za uokozi zinaendaje nk.
Lawama lawama lawama ndivyo hata familia zetu zilivyo.