Seba aliyeandika meseji kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho kwenye ghorofa ya Kariakoo lililoanguka, akutwa amefariki

Seba aliyeandika meseji kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho kwenye ghorofa ya Kariakoo lililoanguka, akutwa amefariki

Kama marehemu aliweza mpaka kutuma sms maana yake unaweza/tungeweza kulocate point alipo na kufanya rescue.

Kale kaghorofa ni kadogo sana kushindwa kuokoa watu wote ndani ya siku tatu.
Kuna gaps kwenye rescue team yetu na mfumo mzima kwenye majanga kama haya.

Hatuwezi kutumia wiki mbili kufanya rescue na kutoa miili kwenye ajali ndogo kama ile, sidhani kama tunahitaji zaidi ya siku tatu kuokoa walio hai kwenye jengo kama like.

TUJITAFAKARI.
 
Ukichunguza sana kuhusu suala hili unaweza kuona kwamba kama vile kulikuwa na hujuma kuhusiana na ajali hiyo ya kuporomoka kwa ghorofa huko Kariakoo, jaribu kutazama video hii unaweza ukabaini vitu fulani fulani hivi.

Is it not the act of sabotage?
 
Attachments

  • 5885670-2da9d10310d2077cab41f4c737a3e62f.mov
    2.4 MB
Its painful 😣

Hiv kam jengo moja ndio limeanguk tena ndan ya jiji kubwa na karbu krbu na fire (waokozi) lakn zoez la ukoaji watu halijakamilika itakuwaje siku magorofa 5/20 yakiangukia watu huko mikoa ya pembezon 😐😐
Majaliwana mwakinyo ndio waokozi waliotegemewa
 
Imani yangu inaniambia walokufa ni wengi sana kuliko tunaotangaziwa kwa sasa wanaotangazwa ni wale waliopostiwa mtandaoni ndugu zao wakiwatafuta
Nakazia📌📌📌📌📌

Fikiria Winga aliyekuwa anatakiwa ku deliver mzigo kwa mteja, Wanaunuzi waliokuwa wanatafuta mahitaji yao,Boda boda...Waote walikuwa humo..Hakuna anayejua...
 
Deep sorrow!

But all in all, vifo vya Watu hawa kamwe havikusababishwa kwa kudra ya Mungu, Bali ni kutokana na kuwepo kwa janga la rushwa, uzembe wa makusudi, ufisadi na kushindwa kuwajibika ipasavyo.
Ni taamaa ya fedha na mali za mwenyewe jengo, na tamaa za fedha kwa walioruhusu na kutoa kibali ujenzi chini ya jengo la ghorofa lililokamilika na linalotumika tayari 🐒
 
Kijana Seba aliyeandika message kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho siku mbili zilizopita.

View attachment 3158342

Mwili wake umeopolewa mda huu ukiwa tayari umeshaanza kuaribika kwenye jengo la Kariakoo.. Tayari mwili wake umepelekwa kwenye hospitali ya Amana kwa kwa taratibu nyingine za kuhustili..Roho ya marehemu ipumzike mahara pema peponi 😭😭 Inasikitisha sana jamani Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un💔🙏
Ndugu Watanzania.
Juhudi za uokozi wa waliokwama chini ya jengo zimetia mashaka sana umakini wa serikali hii.

Kabla majeshi ya uokozi kufika wananchi walishirikiana kwa moyo mmoja bila vifaa wala utaalam wakaokoa watu wengi sana.

Hizi kafara zina mwisho wake mbaya
 
Dogo tuliza mihemko hiyo kazi haikuhitaji nguvu ilihitaji akili, kama unafikiri lilikua linahitaji nguvu basi hadi muda huu kifusi chote kingekua kimezolewa ila hata ambao wametoka hai pengine wangefia pale wote kwahiyo heshimu juhudi za watu au nenda wewe kaonyeshe ujuzi
Umemjibu vizuri..
 
Angekufa mwislam, kwake kifo Cha kuangukiwa na jengo ingekuwa ni shahada, lakin wapi mtu anakufa badala ya kuomba istighfaar anahangaika na mtoto, na Hali hajui yeye huko aendako Kuna Hali gani Ewe Allah nijaalie mwisho mwema
Hii ndiyo akili unatumia kuvuka barabara au kuna nyingine?
 
Dogo tuliza mihemko hiyo kazi haikuhitaji nguvu ilihitaji akili, kama unafikiri lilikua linahitaji nguvu basi hadi muda huu kifusi chote kingekua kimezolewa ila hata ambao wametoka hai pengine wangefia pale wote kwahiyo heshimu juhudi za watu au nenda wewe kaonyeshe ujuzi
Achana nao hao wanaotumia hili janga kuonesha hasira zao kwa serikali.
Kuna viumbe wengine wakawa wanasema ni kheri wangeachwa wananchi tu wafukue kwa mikono, serikali hamna ilichofanya wala hivyo vikosi vya uokozi hamna walichofanya...
Mtu kama hutu unaona kabisa ana chuki na serikali kwamba hata ifanye nini yeye hawezi ona jema lolote.

Mtu analalama ati kuokoa watu wiki zima ilhali yupo namtumbo si ajabu hata picha tu za jengo lilivyoanguka hajaziona, hajui shughuli za uokozi zinaendaje nk.
Lawama lawama lawama ndivyo hata familia zetu zilivyo.
 
Inasemekana lile jengo lina wamiliki zaidi ya wanne...
Wamiliki hata wakiwa 1000 haileti tofauti kama wamefanya hatua zote za kuajiri mshauri, wamepata kibali cha ujenzi na walikuwa na mkandarasi wa daraja na ujuzi unaotakiwa. Anayejua kazi za ujenzi zinaenda vizuri ni mkandarasi, mhandisi wa jiji na mshauri wa mradi. Mwenye nyumba hahitajiki kuwa na ujuzi wowote zaidi ya kutoa mahitaji yake, kulipa mahitaji yote mpaka akabidhiwe mradi.
 
Achana nao hao wanaotumia hili janga kuonesha hasira zao kwa serikali.
Kuna viumbe wengine wakawa wanasema ni kheri wangeachwa wananchi tu wafukue kwa mikono, serikali hamna ilichofanya wala hivyo vikosi vya uokozi hamna walichofanya...
Mtu kama hutu unaona kabisa ana chuki na serikali kwamba hata ifanye nini yeye hawezi ona jema lolote.

Mtu analalama ati kuokoa watu wiki zima ilhali yupo namtumbo si ajabu hata picha tu za jengo lilivyoanguka hajaziona, hajui shughuli za uokozi zinaendaje nk.
Lawama lawama lawama ndivyo hata familia zetu zilivyo.
Utakuwa una matatizo makubwa sana kwenye akili zako.

Also, detect the attempt of the sabotage conspiracy herein below.
 
Attachments

  • 5885669-2da9d10310d2077cab41f4c737a3e62f.mov
    2.4 MB
Back
Top Bottom