Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Sawa.Muumini hahitaji uthibitisho. Akihitaji uthibitisho huyo si muumini.
Huelewi hata muumini ni nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa.Muumini hahitaji uthibitisho. Akihitaji uthibitisho huyo si muumini.
Huelewi hata muumini ni nini.
Mwenyewe nashangaa anacho type anafikiri Kuna mzazi anapenda kuacha watoto wakiwa wadogo maake binadamu tunajijua vizuri..... Huyo naona udini ni mwingiHii ndiyo akili unatumia kuvuka barabara au kuna nyingine?
Umeusema ukweli mchungu.Pesa zinapelekwa pale wajing walipoelekeza akili zao.
Sawa nini?Sawa.
Unapenda ligi mjomba.Sawa nini?
Sio suala la kupenda ligi.Unapenda ligi mjomba.
Mbona hapo juu nishakwambia siwezi kuthibitisha.
Uwezo wa kutoa maelezo au kuthibitisha hilo sina.Sio suala la kupenda ligi.
Hili ni suala muhimu linalohusu mambo mengi sana. Watu wengi sana wanalifuatilia.
Kama huwezi kuthibitisha kwamba Mungu yupo, unawezaje kuhakikisha kuwa yupo kweli?
Unajuaje kwamba kutoweza kwako kuthibitisha kuwa Mungu yupo hakutokani na ukweli kwamba Mungu hayupo?
Huna uwezo kwa sababu huyo Mungu hayupo.Uwezo wa kutoa maelezo au kuthibitisha hilo sina.
We elewa uelewavyo tu sina namna.
Kiukweli watu waliamua wawaue ila busara ilitumika tu si unajua watu wa kusini hawacheleweshiSipati picha, zimamoto walivyo sepa kama, kasongo yeye mkia juu🐗🐗🏃
Sahihi kabisa. Sema actions huwa zinafanyika pale mwanzoni baada ya tukio. Tukio likishasahaulika mambo yanarudi upya.Inatakiwa wakisikia tuu mlio wa nyundo wote watoke nje wajue ni aina gani ya ujenzi unao endelea
Kwanini mnaongea kiarabu wakati sisi ni WASWAHILI?Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un💔🙏
umelewa?Huna uwezo kwa sababu huyo Mungu hayupo.
Kama angekuwapo hata yeye mwenyewe angeona si haki kukunyima uwezo wa kumuelezea.
Situmii vilevi.Kipi kimekufanya uulize hivyo?umelewa?
huwenda unagenerat kileo mwilini na kuathiri afya ya ubongo wakoSitumii vilevi.Kipi kimekufanya uulize hivyo?
Jibu hoja kwa hoja, usilete maswali ya ad hominem fallacy.
Bado unanijadili mimi kwa ad hominem fallacy badala ya kujibu hoja.huwenda unagenerat kileo mwilini na kuathiri afya ya ubongo wako
Mkuu ukiandika kiswahili Allah hataelewa ama kusikia maombi yako?Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un💔🙏
Hivi unadhani malkia wa sheba atawajibisha mtu? Jibu litapatikana na wakatiBado nalia na serikali,hili ni fundisho,wahusika wa uzembe wowote ule utakao onekana wachukuliwe hatua bila ya kumuonea mtu,ukaguzi ufanyike kuanzia sasa kwa majengo mengine ili kusitokee baya lingine pengine kuliko hili.Kuna wakati ni lazima tuonyeshe ukali kidogo,japo kuna watakao umia lakini itasadidia kuepusha madhara zaidi baadaye...