Seba aliyeandika meseji kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho kwenye ghorofa ya Kariakoo lililoanguka, akutwa amefariki

Seba aliyeandika meseji kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho kwenye ghorofa ya Kariakoo lililoanguka, akutwa amefariki

Unapenda ligi mjomba.
Mbona hapo juu nishakwambia siwezi kuthibitisha.
Sio suala la kupenda ligi.

Hili ni suala muhimu linalohusu mambo mengi sana. Watu wengi sana wanalifuatilia.

Kama huwezi kuthibitisha kwamba Mungu yupo, unawezaje kuhakikisha kuwa yupo kweli?

Unajuaje kwamba kutoweza kwako kuthibitisha kuwa Mungu yupo hakutokani na ukweli kwamba Mungu hayupo?
 
Uwezo wa kutoa maelezo au kuthibitisha hilo sina.
We elewa uelewavyo tu sina namna.
 
Inatakiwa wakisikia tuu mlio wa nyundo wote watoke nje wajue ni aina gani ya ujenzi unao endelea
Sahihi kabisa. Sema actions huwa zinafanyika pale mwanzoni baada ya tukio. Tukio likishasahaulika mambo yanarudi upya.

Kuna wakati huwa naona hata baadhi ya gari za abiria, zinapita sheli kujaza mafuta na abiria wakiwamo. Hii ni hatari pia.
 
Bado nalia na serikali,hili ni fundisho,wahusika wa uzembe wowote ule utakao onekana wachukuliwe hatua bila ya kumuonea mtu,ukaguzi ufanyike kuanzia sasa kwa majengo mengine ili kusitokee baya lingine pengine kuliko hili.Kuna wakati ni lazima tuonyeshe ukali kidogo,japo kuna watakao umia lakini itasadidia kuepusha madhara zaidi baadaye...
Hivi unadhani malkia wa sheba atawajibisha mtu? Jibu litapatikana na wakati
 
Back
Top Bottom