Pekejeng
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 808
- 2,155
Kwani ukiwa mswahili ni kosa kuongea kiarabu?Kwanini mnaongea kiarabu wakati sisi ni WASWAHILI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ukiwa mswahili ni kosa kuongea kiarabu?Kwanini mnaongea kiarabu wakati sisi ni WASWAHILI?
Nani kakwambia nimeandika hivyo Ili Allah asikie na kuelewa maombi yangu?Mkuu ukiandika kiswahili Allah hataelewa ama kusikia maombi yako?
🤣🤣🤣 nikitoka hapo na kazi naacha,...Kiukweli watu waliamua wawaue ila busara ilitumika tu si unajua watu wa kusini hawacheleweshi
R. I. PKijana Seba aliyeandika message kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho siku mbili zilizopita.
View attachment 3158342
Mwili wake umeopolewa mda huu ukiwa tayari umeshaanza kuaribika kwenye jengo la Kariakoo.. Tayari mwili wake umepelekwa kwenye hospitali ya Amana kwa kwa taratibu nyingine za kuhustili..Roho ya marehemu ipumzike mahara pema peponi 😭😭 Inasikitisha sana jamani Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un💔🙏
Itasaidi wengine wajifunze wasifanye ujinga kama wake tenaAta akipatikana na akafungwa au kuhukumiwa kifo itasaidia nini mkuu.
Pole sana kwa familiaItakuwa ni vilio kila kona
Anamalizia malizia kusaini mkataba wake na Shetani😭😭 Inauma sana, hivi mmiliki wa Jengo yuko wapi hadi sasa?
Nini kilikua kinaendelea kwenye hilo jengo? Ni kitu gani cha Siri? Mungu akishikwa na ghadhabu hua anashusha gharika au mvua ya moto, sasa tujiulize nini kilikua kikiendelea kwenye hilo jengo kuna jengo lile la pale Karume upande wa kushoto pale pamejaa wadhurumati wengi matapeli ipo siku Mungu atafanya jambo lake nilipigwa laptop yangu ya Lenovo pale sitosahauNAOMBA HIVI VIFOO VITUKUMBUSHE MLIO DUNIAN MNAPITA TU.......
MPENDANE MKIWA HAI
MSAIDIANE MKIWA HAI
MUMKARIBIE MUNGU MDA WOTE SI WAKATI WA SHIDA NA MATESO TU
UJUE KUSAMEHE NA KUSAHAU
.WENZETU KAMA AMEPATA KUTUMA VODEO HATA KUTUBU AMETUBU
JE WE UTAPATA HIO NAFASI.JIFUNZE KILA UKIAMKA NA KULALA TUBU OMBA REHEMA KWA MOLA WAKOO
NNAMENGINE.MENGI
ZAIDI MWOMBE MUNGU AKUWEKE MBALI NA DHAMBI ZA DUNIA HII STAREHE N ZA MUDA TU KUNA MAHALI UNATAKIWA UFIKE BAADA YA HII DUNIAN JE UKO SEHEMU GAN UMEJIPANGAJE ROHO YAKO IKOONDOKA LEO HII....
ROHO YAMAREHEMU IPUMZIKE KWA AMANI NICHUKUE WAKATI HUU KUWAOMBA RADHI WOTE NILIOWAKOSEA NA MLIONIKOSEA NIMESHAWAASEMEHE
BWANA AWE NANYI
GDNYT
Mbona alishindwa kuifunika Kariakoo kupitia hayo maombi yake!Deep sorrow!
But all in all, vifo vya Watu hawa kamwe havikusababishwa kwa kudra ya Mungu, Bali ni kutokana na kuwepo kwa janga la rushwa, uzembe wa makusudi, ufisadi na kushindwa kuwajibika ipasavyo.
Aidha, kama kuna 'harufu' ya vitendo vya hujuma ya kupanga kuhusiana na ajali hiyo.
Sijawahi kusikia tukijipambanisha na nchi zingine kiamendeleo.Majanga kama haya hayana mbabe mkuu, kumbuka tetemeko la uturuki, ghorofa la floors kumi unadhani watafanyaje ili kuharakisha uokozi?
Mungu hajahusika hapo, huo ni uzembe, rushwa, kupenda shortcut, ufisadiNini kilikua kinaendelea kwenye hilo jengo? Ni kitu gani cha Siri? Mungu akishikwa na ghadhabu hua anashusha gharika au mvua ya moto, sasa tujiulize nini kilikua kikiendelea kwenye hilo jengo kuna jengo lile la pale Karume upande wa kushoto pale pamejaa wadhurumati wengi matapeli ipo siku Mungu atafanya jambo lake nilipigwa laptop yangu ya Lenovo pale sitosahau
Its painful 😣
Hiv kam jengo moja ndio limeanguk tena ndan ya jiji kubwa na karbu krbu na fire (waokozi) lakn zoez la ukoaji watu halijakamilika itakuwaje siku magorofa 5/20 yakiangukia watu huko mikoa ya pembezon 😐😐
Huku Mikoani tutafaa vizuri zaidi ! Watu walio okoa watu wengi Kariakoo ni Vijana wagumu wenye nguvu zao ! Huku Mikoani wapo wengi Mno!Its painful 😣
Hiv kam jengo moja ndio limeanguk tena ndan ya jiji kubwa na karbu krbu na fire (waokozi) lakn zoez la ukoaji watu halijakamilika itakuwaje siku magorofa 5/20 yakiangukia watu huko mikoa ya pembezon 😐😐
Viongozi wetu badilikeni muwe WAKALI dhidi ya rushwa na uzembe unaofanywa kiutendaji na kiusimamizi- MNATUANGAMIZA sisi wananchi wenu !Inaumiza mno!