Seba aliyeandika meseji kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho kwenye ghorofa ya Kariakoo lililoanguka, akutwa amefariki

Seba aliyeandika meseji kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho kwenye ghorofa ya Kariakoo lililoanguka, akutwa amefariki

Kijana Seba aliyeandika message kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho siku mbili zilizopita.

View attachment 3158342

Mwili wake umeopolewa mda huu ukiwa tayari umeshaanza kuaribika kwenye jengo la Kariakoo.. Tayari mwili wake umepelekwa kwenye hospitali ya Amana kwa kwa taratibu nyingine za kuhustili..Roho ya marehemu ipumzike mahara pema peponi 😭😭 Inasikitisha sana jamani Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un💔🙏
R. I. P
 
sina cha kusema
Mungu akawe mfariji wa familia
nimefwatilia ile vid yake tukamwombea sana apatikane hai anyway
Kaziya Mungu haina makosa
rip
Seba
 
NAOMBA HIVI VIFOO VITUKUMBUSHE MLIO DUNIAN MNAPITA TU.......
MPENDANE MKIWA HAI
MSAIDIANE MKIWA HAI
MUMKARIBIE MUNGU MDA WOTE SI WAKATI WA SHIDA NA MATESO TU
UJUE KUSAMEHE NA KUSAHAU
.WENZETU KAMA AMEPATA KUTUMA VODEO HATA KUTUBU AMETUBU
JE WE UTAPATA HIO NAFASI.JIFUNZE KILA UKIAMKA NA KULALA TUBU OMBA REHEMA KWA MOLA WAKOO
NNAMENGINE.MENGI

ZAIDI MWOMBE MUNGU AKUWEKE MBALI NA DHAMBI ZA DUNIA HII STAREHE N ZA MUDA TU KUNA MAHALI UNATAKIWA UFIKE BAADA YA HII DUNIAN JE UKO SEHEMU GAN UMEJIPANGAJE ROHO YAKO IKOONDOKA LEO HII....

ROHO YAMAREHEMU IPUMZIKE KWA AMANI NICHUKUE WAKATI HUU KUWAOMBA RADHI WOTE NILIOWAKOSEA NA MLIONIKOSEA NIMESHAWAASEMEHE

BWANA AWE NANYI

GDNYT
 
Nini kilikua kinaendelea kwenye hilo jengo? Ni kitu gani cha Siri? Mungu akishikwa na ghadhabu hua anashusha gharika au mvua ya moto, sasa tujiulize nini kilikua kikiendelea kwenye hilo jengo kuna jengo lile la pale Karume upande wa kushoto pale pamejaa wadhurumati wengi matapeli ipo siku Mungu atafanya jambo lake nilipigwa laptop yangu ya Lenovo pale sitosahau
 
Deep sorrow!

But all in all, vifo vya Watu hawa kamwe havikusababishwa kwa kudra ya Mungu, Bali ni kutokana na kuwepo kwa janga la rushwa, uzembe wa makusudi, ufisadi na kushindwa kuwajibika ipasavyo.

Aidha, kama kuna 'harufu' ya vitendo vya hujuma ya kupanga kuhusiana na ajali hiyo.
Mbona alishindwa kuifunika Kariakoo kupitia hayo maombi yake!
 
Majanga kama haya hayana mbabe mkuu, kumbuka tetemeko la uturuki, ghorofa la floors kumi unadhani watafanyaje ili kuharakisha uokozi?
Sijawahi kusikia tukijipambanisha na nchi zingine kiamendeleo.

Mara nyingi kwenye uzembe na upumbavu wetu ikiwemo uvivu wa kufikiri kimaono, tunatfuta nchi za kujilinganisha nazo. Ila akitokea mtu akauliza swali kwamba kwanini hatufanyi kama fulani kwenye maendeleo jibu linakuwa jepesi "hao walianza zamani, ooh mabeberu so and so" visingizio vya kijinga tu.

Miaka 60+ tangu mamlaka yaachiliwe kwa weusi, badala ya kwenda mbele, tunarudi nyuma. Yani tunaenda mbele hatua 1 kisha tunarudi nyuma hatua 20
 
Nini kilikua kinaendelea kwenye hilo jengo? Ni kitu gani cha Siri? Mungu akishikwa na ghadhabu hua anashusha gharika au mvua ya moto, sasa tujiulize nini kilikua kikiendelea kwenye hilo jengo kuna jengo lile la pale Karume upande wa kushoto pale pamejaa wadhurumati wengi matapeli ipo siku Mungu atafanya jambo lake nilipigwa laptop yangu ya Lenovo pale sitosahau
Mungu hajahusika hapo, huo ni uzembe, rushwa, kupenda shortcut, ufisadi
 
Wazungu ni wajuvi wa mambo sana sidhani kama kwa nchi yao wanakosa vifaa bora vya uokozi ambavyo vinaweza hamisha hicho kifusi ndani ya masaa24 na manusura wote kutoka wakiwa hai, kama kuna uwezekano mama azungumze na hao watu weupe watupe vifaa bora vya uokozi kwa ajiri ya tahadhari, Pia nashauri ujenzi wa vitu heavy kama maghorofa, madaraja sio wa kufanywa na engineer wa kibongo aliye soma udsm, kuna vitu wabongo lazima tuwaachie wataalamu wa kuaminika, tazama walicho kifanya yaani walikuwa wakifanya ujenzi chini hali ya kuwa juu kuna watu, hiyo haitoshi wakaamua kuigonga nguzo inayo shikilia jengo zima, So sad, they' were not careful and now we have losted many human souls... Rest in peace all our beloved ones🙏🙏🙏🙏🙏
 
Maghorofa yepi pembezoni?🫢
Its painful 😣

Hiv kam jengo moja ndio limeanguk tena ndan ya jiji kubwa na karbu krbu na fire (waokozi) lakn zoez la ukoaji watu halijakamilika itakuwaje siku magorofa 5/20 yakiangukia watu huko mikoa ya pembezon 😐😐
 
Huku Mikoani tutafaa vizuri zaidi ! Watu walio okoa watu wengi Kariakoo ni Vijana wagumu wenye nguvu zao ! Huku Mikoani wapo wengi Mno!
 
Back
Top Bottom