Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Nishawahi pigwa shoo moja na mjeshi...wale si watu, wanakamua barabara.
Mie yale magandwa tu mie hoi.
Ila akivua, stimu zote zinakata....apige shoo na gwanda zake.
Yeah, wana pumzi wale....balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
👍👍
 
Nasikia maenyeji wa chato maeneo hayo huyu dubwana
 
Wakiendelea kumlinda Rais aliyepo mtasemaje?
Saaaaagudaaaa sasa sasa saaaaaaguddaaaah saaaaa gudah nakuona mkuu licha ya kufiwa unakula pozi tu kama hujali vile.

Vipi bado unazo yale Mawe ya ruby zenye rangi ya marvy?
 
Saaaaagudaaaa sasa sasa saaaaaaguddaaaah saaaaa gudah nakuona mkuu licha ya kufiwa unakula pozi tu kama hujali vile.

Vipi bado unazo yale Mawe ya ruby zenye rangi ya marvy?
Dah sijui yalipo kwa Sasa!
 
Yaani hiki kipande nilikiona kule insta, yaani huwezi amini shosti, eti nime-screenshot.
Kaka ana body tamu huyu...
Sio hawa wanaumr zetu wa humu Jf, walamba lips na wapaka lipbalm.
Yaani unanipa stata mama D ujue....me kwakr taabani Seba wangu
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani utawala wa sasa ni wa wanawake
tutaona mengi, tunaweza tumwa tukaangalie mboga wao, au kupeleka mtoto Klinik wao wana kazi ya umma au wanatoa Hotuba kwenye Kata au wanamchamba mwanaJF kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…