Sadock Kabuko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2013
- 1,166
- 1,075
Rest in Peace Mzee Moi poleni sana kwa msiba wakenya wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajawahi kutoa!!!*Hatimae Arap Moi amekufa kweli baada ya kusingiziwa kufa Mara Kibao*
Pumzika kwa Amani Mzee. Ukumbuke hakuwahi kuoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa na wazimu wewe labda kama umezaliwa amisha toka madarakani.
Hatimaye amefariki kweli. Kwa hivyo William Rutto hataweza kyhudhuria masiba wake, maana siku za mwisho za uhai wake alimpiga marufuku Rutto kuhudhuria mazishi yake atakapokufa.
Asante leo ndio nimesikia watoto wa Daniel Arap MoiHebu soma hapo chini. Inaonekana alikuwa na mke na alikuwa na watoto 7. Jumla wa 8 mmoja wa ku asili. View attachment 1345988
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajawahi kushindwa uchaguzi huyu mzee,chama chake ndo kilishindwaRIP mzee Moi, pamoja na mambo mengine lakini ulionesha njia kwa viongozi wa Africa ambavyo wanatakiwa kuwa baada ya kishindwa uchaguzi, nakumbuka uliposhindwa uchaguzi na kuulizwa kwanini hujakataa matokeo, ulijibu jibu rahisi kwamba 'hiyo ndiyo demokrasia '