Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Hata kulikua na propaganda kwamba William Ruto ni mtoto wa moi,japo sijui Kama Kuna ukweli ndani yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeuliza vitu vya maana. Kwa mfano kama chama chako kitatekeleza wito wa wanachama wake, wa kumtanguliza Zitto Kabwe mbele ya haki. Sio unakuja na kiherehere chako ukidhani kila mtu ni petty kama wewe. Hivi unajua Daniel Moi ndiye aliyemuinua William Ruto kisiasa na kimaisha? Soma historia kwanza kabla ya kujifanya mjuaji.
Sent using Jamii Forums mobile app