The GitHub
Member
- Dec 3, 2019
- 39
- 107
Sisi sote ni wa Allah na kwake tutarejea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli, Moi alioa na kupata watoto nafikiri wanne au watatu, vijana akiwemo Gideon Senator wa Baringo, Marehemu Jonathan na kijana mwingine pia.
Kumbuka walitalikiana na mkewe zamani akiwa bado makamu wa rais.
Moi alishindwa uchaguzi? hapana mkuu. Huyu mzee mwaka 2000 au 2001 hivi, alitaka kumrithisha kiti bwana mdogo Uhuru Kenyatta kupitia KANU.RIP mzee Moi, pamoja na mambo mengine lakini ulionesha njia kwa viongozi wa Africa ambavyo wanatakiwa kuwa baada ya kishindwa uchaguzi, nakumbuka uliposhindwa uchaguzi na kuulizwa kwanini hujakataa matokeo, alijibu jibu rahisi kwamba 'hiyo ndiyo demokrasia '
Walipeana talaka 1974 kijana wake mkubwa Jonathan (Rip) akiwa na miaka 20.
Poleni sana wakenyaHebu soma hapo chini. Inaonekana alikuwa na mke na alikuwa na watoto 7. Jumla wa 8 mmoja wa ku asili. View attachment 1345988
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimae Arap Moi amekufa kweli baada ya kusingiziwa kufa Mara nyingi
Pumzika kwa Amani Mzee. Ukumbuke hakuwahi kuoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haitaji phd kujua anaenda motoni au ahera,atakuwa sehemu moja na mugabe,mobutu,banda,bokasa,Hitler,aminWala sio kazi yangu kuhukumu, maana hakimu wa haki yupo na yuajua vyema zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Even tom mboya,ouko gone