Second President of the Republic of Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi dies at 95

Second President of the Republic of Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi dies at 95

Poleni sana ndugu zetu wakenya,

Rest in eternal peace mzee Moi.
 
Kenyan,
Kuna mshenzi mmoja alitaka kumbaka mwaka jana! Nahisi alitaka urithi kupitia mimba. Hawa wadada siku hizi hatari sana.
Acha urongo babu doh! Huyu kwa umri huo mashine haiendi wima! BTW I am waiting to see if Ruto will attend the funeral knowing that mighty beef that exists btn this family n Ruto! This death will be Ruto's wrong doing
 
Wazee wetu mpumzike kwa Amani popote mlipo.
FB_IMG_1580796441148.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
BTW I am waiting to see if Ruto will attend the funeral knowing that mighty beef that exists btn this family n Ruto! This death will be Ruto's wrong doing
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Apumzike Kwa Amani Anapostahiri
 
RIP mzee Moi, pamoja na mambo mengine lakini ulionesha njia kwa viongozi wa Africa ambavyo wanatakiwa kuwa baada ya kishindwa uchaguzi, nakumbuka uliposhindwa uchaguzi na kuulizwa kwanini hujakataa matokeo, ulijibu jibu rahisi kwamba 'hiyo ndiyo demokrasia '
Hakushindwa 2002 ila chama chake kiligombea kikiwakilishwa Uhuru Kenuyatta ambaye alishindwa na kukubali matokeo.

Ukiacha Kenyatta ambaye alihodhi ardhi kubwa ya Kenya, Mzee Moi naye si haba kwa hilo. Na ameacha ukwasi wa kutosha kupitia familia yake. Tusisahau kashfa ya Goldenberg ambayo ilitikisa uchumi wa Kenya miaka ya 90, kila mkubwa akijichukulia chake. Mauaji na mateso kwa Wanasiasa na Wanaharakati, kupendelea kabila lake nk.

Ila angalau alijaribu kutafuta umoja wa Wakenya japo waliokuwa wanamzunguka walimzidi nguvu. Program ya kutoa maziwa bure kwa Wanafunzi nk.

Namsifu kwa kutokubali kuchakachua matokeo chama chake cha Kanu kiliposhindwa uchaguzi mwaka 2002. Taarifa zinasema kabla ya hapo matokeo yalipokuwa yanakuja ndivyo sivyo mwishoni wakijua wanashindwa, viongozi wakubwa wa karibu wakiongozwa na Lee Njiru wakamfuata na kumwambia wapindue matokeo tena mmoja alimwambia 'the matter is quantity and not quality'. Akawasikiliza halafu akaenda chumba kingine, akamwita Uhuru. Kilichofuata ni Uhuru Kenyatta kutangaza kukubali kushindwa. Mwamba Kanu ukaanguka.

Ni vyema kukumbuka mpaka 2002 Kanu hakikuwa Chama cha siasa kwa maana ya chama hasa bali kundi la Watu lililokuwa linafaidika na uwepo wa Kanu madarakani.

Nakumbuka kichekesho cha uchaguzi wa nani awe mgombea Urais, wakati huo Raila Odinga amehamia Kanu kwa ahadi ya kupewa kijiti! Chini kwa chini Moi kabadili mawazo anamtaka Uhuru kanuni zikapinduliwa. Kwamba wajumbe wapige kura kwa kunyoosha mkono au mlolongo!! Hahaaaa...nani angethubutu kwenda kinyume na Mzee Nyayo???!!

Nimekumbuka mengi sana enzi hizo.
Kbc na akina Khadija Ally, Mambotela, Jack Oyoo Sylivester nk. Jina linaanza na Mtukufu Rais.

Rip Moi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungeuliza vitu vya maana. Kwa mfano kama chama chako kitatekeleza wito wa wanachama wake, wa kumtanguliza Zitto Kabwe mbele ya haki. Sio unakuja na kiherehere chako ukidhani kila mtu ni petty kama wewe. Hivi unajua Daniel Moi ndiye aliyemuinua William Ruto kisiasa na kimaisha? Soma historia kwanza kabla ya kujifanya mjuaji.
 
worse among the ruling ranks of serial killers and kleptocrats who run roughshod on post colonial Africa
 
Ungeuliza vitu vya maana kama chama chako kitatekeleza wito wa wanachama wake, wa kumtanguliza Zitto Kabwe mbele ya haki. Sio unakuja na kiherehere chako ukidhani kila mtu ni petty kama wewe. Hivi unajua Daniel Moi ndiye aliyemuinua William Ruto kisiasa na kimaisha? Soma historia kwanza kabla ya kujifanya mjuaji.
We r talking of current situation!
 
And political ramifications? Of recently he has been talking of down with dynasty!
I don't think there will be any, Gideon will want to prove that he is ripe to rule kenya and uhuru will not like to show that there is bad blood between him and Ruto especially in ruto's stronghold , therefore they will play it cool.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mathew 8: 22 Jesus said, "Follow me, and let the dead bury their own dead"
 
Back
Top Bottom