Second President of the Republic of Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi dies at 95

Second President of the Republic of Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi dies at 95

Hata kwenye Bibilia wale waliokua katili kabisa mwishowe waliingia katika ufalme wa Mungu. Jinsi uonavyo wewe ni tofauti na Mungu. Nakusihi usiwe mwepesi wa kuhukumu watu acha kazi ya Mungu ifanywe na Mungu.
Haitaji Phd kujua anaenda motoni au ahera, atakuwa sehemu moja na Mugabe, Mobutu, Banda, Bokasa, Hitler, Amin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kwa taarifa za hivi punde ni kuwa Rais Daniel Toroihich Arap Moi katutoka. Moi kazaliwa mwaka 1925 huko Baringo - Kenya wakati wa mkoloni mwingereza ikijuikana British East Africa. Amesomeshwa na kaka yake kwani babaye likufa Moi akiwa mdogo sana.

Baadae aihudumu kama mkufunzi vyuo vya ualimu na baadae principal wa chuo cha ualimu. Alivutiwa na siasa za ukombozi wa Kenya na kuamua kuachana na utumishi wa umma wa kumsaidia mkoloni.

Aliazinza chama cha African Democratic Union yaani KADU. Hata hivyo KADU haikufua dafu mbele ya KANU ya Kenyatta. Hivyo baada ya Uhuru wa Kenya alivunja chama chake na kupewa vyeo serikalini.

Ameiongoza Kenya mwaka 1978 hadi 2002. Aliwahi kuwa waziri wa Afya, mambo ya ndani na makamu wa Rais ktk utawala wa Jomo Kenyatta.

Nitakuja na habari Zaidi.

Source: Mitandao tofauti, ikiwepo Kenyan.co.ke.
 
Paul kwenye Bibilia aliua watu wengi Sana wa Mungu na badae akawa mtumishi wa Mungu mkubwa Sana, David aliua Uriah akachukua Hadi mkewe mamake Solomon lakini huyu David was a man who lived after God's own heart..... So don't be judgemental
Biblia yasema waovu wote sehemu yao ni kwenye ziwa la moto. Dhambi ya kuuwa inasameheka?
Hatima yake ilipangwa na Mungu kabla hajazaliwa na huwezi ukajua kwamba ameishi maisha yapi baada ya kustafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
YAAN RIP TU, BABU WATU WALISHAUMALIZA MWENDO WAKE MARAMBILI AKAKOMAA NA MUNGU WAKE.

NAONA MUNGU KAMPENDA ZAIDI MPAKA NKAHISI MGAOO NN VIJANA WANATAKA KUMALIZA MAPEMA.

KUNAKAKALANGU MOJA ILIBIDI WATUWAKAE MASAA 24 KUMLINDA MZEE ASIJE MMALIZA MALI SHETAN SANA
 
Falsafa/kauli mbiu ya Peace, love and unity ni falsafa ambayo kama kiongozi akiitekeleza kwa Wanainchi wake, jina lake halitapotea kamwe.

Katika uchaguzi wa mwaka huu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, ni vyema vyama vya siasa vizingatie kauli mbiu hii kwa kuchukua hata ne no moja.

Kauli mbiu ya Kuombea kura inatakiwa impe matumaini ya kuishi kama binadamu mpiga kura na si kumtia woga. Kauli mbiu ni lazima ilenge makundi yote na si kundi moja la wenye nguvu ya kufanya kazi. Kuna wengine ni wazee, walemavu, watoto, wagonjwa wa kudumu nk hawa hatuwezi kuwaambia " hapa kazi tu" au "movement for change". Mtu wa kawaida ukimwambia kuhusu ne no change yeye anajua ni ya pesa.

Ukitengeneza kauli mbiu kwa kutumia maneno ya kiingereza ni kuwapoteza Watanzania kabisa na kuwaona wao hawakusoma na kwa hiyo huwahitaji.
 
Daah alikuwa anajiita Mtukufu Raisi. Akakutane na Mtukufu orijino.

Everyday is Saturday.
 
Ungeuliza vitu vya maana. Kwa mfano kama chama chako kitatekeleza wito wa wanachama wake, wa kumtanguliza Zitto Kabwe mbele ya haki. Sio unakuja na kiherehere chako ukidhani kila mtu ni petty kama wewe. Hivi unajua Daniel Moi ndiye aliyemuinua William Ruto kisiasa na kimaisha? Soma historia kwanza kabla ya kujifanya mjuaji.
 
K.I.C.C honours mzee Moi.
FB_IMG_1581145191737.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumzika Kwa Amani Baba Moi.

Wakati naangalia TV mubashara kwa mara ya kwanza, ilikuwa ni matangazo ya KBC yaliyokuwa yakifika mjini Moshi. Mtukufu Rais Daniel Arap Moi alikuwa kwenye takriban kila habari kuu.

Ilipofika miaka ya vyama vingi Afrika, Profesa wa Siasa, Baba Moi, inadaiwa alipata kushangazwa pale Rais Kaunda wa Zambia aliposhindwa uchaguzi, wakati Kaunda akiwa bado ni Rais.

Rais Moi, kwa kuachia madaraka kwa hiari, ameijengea Jamhuri ya Kenya msingi imara wa utamaduni wa kubadilishana madaraka.

Tutakukumbuka Baba Moi.
 
Rais mstaafu mzee Kikwete leo anahudhuria shughuli za utoaji heshima za mwisho kwa mwendazake Daniel Arap Moi katika viwanja vya Nyayo jijini Nairobi.

Kikwete alilakiwa na makamu Rais wa Kenya mh William Ruto alipowasili uwanjani hapo

Source Citizen tv
 
Rais mstaafu mzee Kikwete leo anahudhuria shughuli za utoaji heshima za mwisho kwa mwendazake Daniel Arap Moi katika viwanja vya Nyayo jijini Nairobi.

Kikwete alilakiwa na makamu Rais wa Kenya mh William Ruto alipowasili uwanjani hapo

Source Citizen tv
Mkapa he? Mbona naambiwa naye amekwenda?
 
kikwete ni civilized katika hili tumpe pongezi zake,,sio mi uncivilized inayo tamalaki kipindi hiki
 
Back
Top Bottom