Sijakuelewa!!!Akapumzike alipo wapumzisha wengine
Nimeona video Moi akiagwa na Rais Kenyatta mwili ukiwa umelazwa juu ya meza!, kwanini wasingemuweka kwenye jeneza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Moi alikuwa na zaidi ya miaka 95, sasa ulitaka nini? Pole ya nini?
Ingawa ame represent rais na raia wa Tanzaniakikwete ni civilized katika hili tumpe pongezi zake,,sio mi uncivilized inayo tamalaki kipindi hiki