VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,610
- 13,168
RIP mzee Moi, Moi na Nyerere walitawala kwa miaka 24 Net! Mzee wa hekima JK wape ndugu zetu mkono wa pole.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakuelewa!!!Akapumzike alipo wapumzisha wengine
Nimeona video Moi akiagwa na Rais Kenyatta mwili ukiwa umelazwa juu ya meza!, kwanini wasingemuweka kwenye jeneza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Moi alikuwa na zaidi ya miaka 95, sasa ulitaka nini? Pole ya nini?
Ingawa ame represent rais na raia wa Tanzaniakikwete ni civilized katika hili tumpe pongezi zake,,sio mi uncivilized inayo tamalaki kipindi hiki