Uchaguzi 2020 Secretary Pompeo azungumzia kinachoendelea Tanzania kuhusu mambo ya Uchaguzi

Huyo mtukufu magufuli kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji mateso manyanyaso kwa wapinzani hutumwa na nani? au ni kwa masilahi ya nani? Wachina waarabu wahindi au?
 
Mtu mweusi ni nyani tuu..hivi unazani huyoo kombeo akizungumza atakusaidia kitu? Huko marekani kwenyewe hakuna democracy..full stop
Kwani America wakitoa pesa kwa Tanzania huwa masikini wameisha kwao?
 
Vipi kuhusu Uganda mbona marekani hawasemi chochote? Chuma kipo madarakini tangu 1986 na bado kinagombea mbona wapo kimya?? Waache waongee wakichoka watalala
Uganda wana mapungufu yao lakini Uganda wapo vizuri kwa wafanyabiashara Benk kuu ya Uganda haidhulumu pesa za wafanyabiashara zinazotumwa toka nje , hawana usumbufu kwa wafanyabiashara kabsa hakuna kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi wala utakatishaji fedha ili kumdhulumiwa pesa zako
 
Kujenga Taifa lipi? Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa zote za viwanda za walipa kodi zinatumika kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji mwingi kwa wapinzani badala ya maendeleo
 
Umesahau kuwa ni siku chache tu zilizopita mlikuwa na kauli yenu mbiu "maendeleo ya watu na sio vitu"

Meaning maendeleo yapo na yanafanyika.
 
Mbona hamuandamani nyie, yaani mmekalia kupiga makelele mtandaoni tu siku nzima?
Maandamano tarehe 2 lakini tarehe 1 kwa uoga wa Polisiccm wakaenda kumkamata mwenyekiti wa chadema huku wakitembeza vitisho vya kishamba kwa maandamano ya Amani , Polisiccm ndiyo wamevuruga maandamano kwa uoga wao
 
Haya hayasaidii
hongera sana mkuu kwa kulitambua hili.. yani hiyo nikuwafariji tu wala haipunguzi maumivu ya tar 28 mkuu.. kiufupi wao lazima waongee japo sisi haturuhusiwi kuwakosoa wao huko USA
 
Maandamano tarehe 2 lakini tarehe 1 kwa uoga wa Polisiccm wakaenda kumkamata mwenyekiti wa chadema huku wakitembeza vitisho vya kishamba kwa maandamano ya Amani , Polisiccm ndiyo wamevuruga maandamano kwa uoga wao
Yaani ndio mmebaki kujifanya majasiri mtandaoni, ha ha ha.
 
Umesahau kuwa ni siku chache tu zilizopita mlikuwa na kauli yenu mbiu "maendeleo ya watu na sio vitu"

Meaning maendeleo yapo na yanafanyika.
Flyover SGR bwawa la umeme kote kuna ufisadi mpaka kwenye ununuzi Ndege ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge
 
mkuu hiyo taarifa imepoza makovu ya tar 28?? Pole sana kwanini usikubAli tu mkuu, kwanini uumie jumla hivi?? RelAx buaNa!!
 

kwa kukurekebisha, Hakuna nchi inafanya maamuzi kwa nchi ingine, marekani na nchi zingine wako concerned kwa sababu raia wake wanaishi uku pia + wana ubalozi wao huku, If your waiting for America to take actions on matters related to tanzania then just die, we can kill as many citizens as needed and thats all, just like any other country walio kwenye war miaka nenda rudi, LET THIS SINK IN YOUR HEAD
 
Huyo Lowassa kama hakukubali matokeo alichukua hatua gani?

Again Lissu is a completely different story.

hahahaha daaah wana chadema bana! hakuna uchaguzi unarudiwa + wote wakina sugu, lema , mbowe ndo mwisho wa siasa zao za maji taka
 
Kama tungegomea uchaguzi uozo wao ungeanikwa vipi nje ya mipaka yetu?!

Ujifunze kufikiria nje ya box old man.
The best decision they did.
Wangesusia uchaguzi , CCM wangekuwa wanachekelea sasa, ila nadhani sasa wamepaniki [emoji23][emoji23][emoji23].
Ni mjinga tu anayeweza kukamata Kiongozi wa upinzani Ubalozini, ndio maana ameachiwa fasta. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakuta kuna mtu kawapiga kibao wastuke usingizini.

Sent from my G-PADLITE using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…