Wazungu huwa hawana interest na maslahi ya mtu mwingine zaidi ya maslahi yao.
Ukiona wanatafuta weakness yoyote kwenye utawala wa nchi flani ujue hiyo nchi wamebanwa maslahi yao.
Kama atatokea rais akabana maslahi yao hata awe nademokrasia vipi atakua rais mbaya.
Mie napigania haki lakini sidhani kama wazungu wako kwaajili ya sisi kupata haki. Wao wanamaslahi tu yakudumu na hawana rafiki kamwe.
Kama ikatokea rais mteule akaamua kuwapoza kwa kuwapa rasilimali zetu tutakaoumia ni sisi ila wazungu wataanza kumsifia na sisi tulivyo na ujinga tutaanza kuhisi nikweli ni raisi bora.
Ukiona rais wako anasifiwa na wazungu unapaswa kuwa na mashaka na mambo yanayoendelea nyuma ya pazia.
Sent from my Infinix X603 using
JamiiForums mobile app