Uchaguzi 2020 Secretary Pompeo azungumzia kinachoendelea Tanzania kuhusu mambo ya Uchaguzi

Ikiwa Nyie wenyewe Watanzania hamwezi kujiongoza mkajisimamia hivi kweli TWEET Ya pompeo iwe fake au sahihi itawasaidia nini??
 
Siku chache kabla ya uchaguzi american firms BARRICK CORP. They have been granted/lincesed 10 new sites for mining activities by Tanzania government under twiga states mining company

hakuna mpya na tusiwe washabiki sana wa matamko let see the games goes.

Interest have been protected.
 
Hv Hao wazungu si waadress waafrika wanoouliwa huko marekani
 
Wazungu huwa hawana interest na maslahi ya mtu mwingine zaidi ya maslahi yao.
Ukiona wanatafuta weakness yoyote kwenye utawala wa nchi flani ujue hiyo nchi wamebanwa maslahi yao.
Kama atatokea rais akabana maslahi yao hata awe nademokrasia vipi atakua rais mbaya.
Mie napigania haki lakini sidhani kama wazungu wako kwaajili ya sisi kupata haki. Wao wanamaslahi tu yakudumu na hawana rafiki kamwe.
Kama ikatokea rais mteule akaamua kuwapoza kwa kuwapa rasilimali zetu tutakaoumia ni sisi ila wazungu wataanza kumsifia na sisi tulivyo na ujinga tutaanza kuhisi nikweli ni raisi bora.

Ukiona rais wako anasifiwa na wazungu unapaswa kuwa na mashaka na mambo yanayoendelea nyuma ya pazia.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
We are deeply concerned by reports of election irregularities, politically motivated arrests, and violence during Tanzania’s elections last week. We urge authorities to fully address concerns of irregularities and will review allegations of the use of force against civilians.

NB: Kwa wale wasioelewa ni kuwa kwa utaratibu wa Marekani, huyu akishaongea kinachofuata ni hatua za kinidhamu. Yani kwa upande wa Marekani huyu akishazungumza basi jiandae kwa kuchukuliwa hatua maana mwisho wa matamko ni kwa secretary of state.

Pili Marekani akishachukua hatua wanafuata washirika wake wa Ulaya.

Marekani kwa siku za karibuni imechukua hatua kali kwa wavurugaji wa uchaguzi mataifa mbalimbali
Tunasubiri hatua za kinidhamu zichukuliwe kwani imetosha sasa
 
Vibendera Wanasubiria huruma
Endeleeni Kudanganyana na Ujinga wenu
Uchaguzi uliisha Kitambo sana
Na Mamluki wenu Walisha pewa za Uso
Etu Lisu awe Rais wa Tanzania
Pumbavu kabisa
 
Hakuna jipya.

Uozo umekuwepo siku zote.

Tatizo lenu mko wepesi wa kusahau.

Na mpaka kufika 2025, haya ya 2020 mtakuwa mshayasahau na mtashiriki tena uchaguzi chini ya mazingira haya haya ya leo, jana, juzi, na majuzi.

2015 Lowassa hakukubaliana na matokeo. Unabisha?

2010 Slaa hakukubaliana na matokeo. Unabisha?

Mkuu hizi chaguzi zote 3 zimetufundisha sidhani kama tutasahau.... Ila huu wa juzi hawajaiba.....wamebaka.
 
We are deeply concerned by reports of election irregularities, politically motivated arrests, and violence during Tanzania’s elections last week. We urge authorities to fully address concerns of irregularities and will review allegations of the use of force against civilians.

NB: Kwa wale wasioelewa ni kuwa kwa utaratibu wa Marekani, huyu akishaongea kinachofuata ni hatua za kinidhamu. Yani kwa upande wa Marekani huyu akishazungumza basi jiandae kwa kuchukuliwa hatua maana mwisho wa matamko ni kwa secretary of state.

Pili Marekani akishachukua hatua wanafuata washirika wake wa Ulaya.

Marekani kwa siku za karibuni imechukua hatua kali kwa wavurugaji wa uchaguzi mataifa mbalimbali
Mwambie https://jamii.app/JFUserGuide him awababaishe nyinyi wanasaccos nahuko tweeter nimempa dogo pia wamarekani wenzake wanaendelea kumpa madogo ya nguvu.
 
We are deeply concerned by reports of election irregularities, politically motivated arrests, and violence during Tanzania’s elections last week. We urge authorities to fully address concerns of irregularities and will review allegations of the use of force against civilians.

NB: Kwa wale wasioelewa ni kuwa kwa utaratibu wa Marekani, huyu akishaongea kinachofuata ni hatua za kinidhamu. Yani kwa upande wa Marekani huyu akishazungumza basi jiandae kwa kuchukuliwa hatua maana mwisho wa matamko ni kwa secretary of state.

Pili Marekani akishachukua hatua wanafuata washirika wake wa Ulaya.

Marekani kwa siku za karibuni imechukua hatua kali kwa wavurugaji wa uchaguzi mataifa mbalimbali
Vipi kuhusu Uganda mbona marekani hawasemi chochote? Chuma kipo madarakini tangu 1986 na bado kinagombea mbona wapo kimya?? Waache waongee wakichoka watalala
 
B
We are deeply concerned by reports of election irregularities, politically motivated arrests, and violence during Tanzania’s elections last week. We urge authorities to fully address concerns of irregularities and will review allegations of the use of force against civilians.

NB: Kwa wale wasioelewa ni kuwa kwa utaratibu wa Marekani, huyu akishaongea kinachofuata ni hatua za kinidhamu. Yani kwa upande wa Marekani huyu akishazungumza basi jiandae kwa kuchukuliwa hatua maana mwisho wa matamko ni kwa secretary of state.

Pili Marekani akishachukua hatua wanafuata washirika wake wa Ulaya.

Marekani kwa siku za karibuni imechukua hatua kali kwa wavurugaji wa uchaguzi mataifa mbalimbali
Acheni kujifariji. TZ hawana masilahi nayo kama mnavyojifariji. Wenyewe wana uchaguzi wao ambao Rais wa Pompeo aliiba akisaidiwa na Russians.
 
Back
Top Bottom