minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Democracy ndiyo wanaingia ikulu Safari hii tramp hapiti lakini ujue baada ya uchaguzi huchukua miezi mitatu Rais mpya kuingia white houseWapambane kwanza na Trump wamuweke kwenye mstari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Democracy ndiyo wanaingia ikulu Safari hii tramp hapiti lakini ujue baada ya uchaguzi huchukua miezi mitatu Rais mpya kuingia white houseWapambane kwanza na Trump wamuweke kwenye mstari
Hana tofauti na KIBWETERE; ccm is no longer a political party but a CULT!!!Ubabe usio na akili kabisa wa kiongozi wetu wa sasa unatutia aibu kubwa kimataifa!
CCM imeteuliwa na wakurugenziccm NECCCM Tumeccm na Polisiccm kwa njia haramu za kishetani hawakushinda kwenye sanduku la kuraKati ya chaguzi zilizokuwa na AMANI kubwa kabisa ni huu!!!! Wasiokuwepo kwenye uchaguzi badala ya kuwasikiliza WAANGALIZI WA UCHAGUZI Wao wanachukua matamko ya upinzani na kuwa ndo yao!!!
Unadhani Tanzania wanakuja kwa sababu wanatupenda sana big noMabeberu wakisusia utalii Tanzania itakuaje?
Ni upumbavu mtupu kudhani baadhi ya mataifa ya ulaya yanaweza kuacha mambo yao na kutuwazia sisi for free....View attachment 1618016
UINGEREZA YATAKA UCHUNGUZI HURU UFANYIKE KUHUSU UCHAGUZI WA TANZANIA
Kulingana na taarifa iliotolewa na Uingereza na kuchapishwa tarehe mosi mwezi Novemba, Taifa hilo sasa linajiunga na mataifa mengine katika kuitisha uchunguzi huru ufanywe ili kuondoa wasiwasi unaozidi kuenea katika taifa La Tanzania
Waziri wa masuala ya Afrika James Duddridge amesema kwamba Uingereza inashangazwa na ripoti za ghasia na kiwango cha juu cha maafisa wa polisi katika vituo vya kupigia kura ikiwemo suala zima la kukamatwa kwa baadhi ya viongozi wa upinzani.
Amesema kwamba Uingereza pia ina wasiwasi kuhusu madai ya kuingiliwa kwa uchaguzi huo, kujazwa kwa kura katika masanduku ya kupigia kura na kuzuiliwa kwa mawakala wa vyama vya upinzani kuingia katika vituo vya kupigia kura.
Vilevile taifa hilo limeshangazwa na madai ya ripoti za ghasia na kiwango kikubwa cha maafisa wa polisi katika vituo vya kupigia kura wakati wa uchaguzi, ikiwemo kukamatwa kwa baadhi ya viongozi wa upinzani.
Kulingana na taarifa hiyo , Uingereza imesema kwamba kwa Tanzania kuwa dhabiti na kustawi katika siku za usoni , itahitaji mchakato wa kidemokrasia ulio huru na wa haki, unaoungwa mkono na vyombo vya habari vilivyo huru.
Source: BBC

Hakuna kitu kinachoitwa maslahi ya wazungu.Wazungu huwa hawana interest na maslahi ya mtu mwingine zaidi ya maslahi yao.
Ukiona wanatafuta weakness yoyote kwenye utawala wa nchi flani ujue hiyo nchi wamebanwa maslahi yao.
Kama atatokea rais akabana maslahi yao hata awe nademokrasia vipi atakua rais mbaya.
Mie napigania haki lakini sidhani kama wazungu wako kwaajili ya sisi kupata haki. Wao wanamaslahi tu yakudumu na hawana rafiki kamwe.
Kama ikatokea rais mteule akaamua kuwapoza kwa kuwapa rasilimali zetu tutakaoumia ni sisi ila wazungu wataanza kumsifia na sisi tulivyo na ujinga tutaanza kuhisi nikweli ni raisi bora.
Ukiona rais wako anasifiwa na wazungu unapaswa kuwa na mashaka na mambo yanayoendelea nyuma ya pazia.
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Cc RRONDOMungu wabariki Wazungu
Sasa kiafrika kama mtawala akishindwa miezi mitatu haitoshi.Democracy ndiyo wanaingia ikulu Safari hii tramp hapiti lakini ujue baada ya uchaguzi huchukua miezi mitatu Rais mpya kuingia white house
wakati wewe mwenyewe ulivyo bwege, miaka yote hapa jf umekuwa ukijisifu kupiga box kwenye taifa la mzungu.Wewe endelea kusubiri hao wajomba zako wa nje waje wakusaidie.
Hamia huko America ni nani?? si kitu hao wanakufaa wewe mpenda mauti,, Kazi ya America ni kusababisha na kuleta maafa duniani na sasa kaptura imewashuka hadi magotini kwa China na urusi hata kuwapangia nani awe raisi hawana kitu hao wezi watupu.We are deeply concerned by reports of election irregularities, politically motivated arrests, and violence during Tanzania’s elections last week. We urge authorities to fully address concerns of irregularities and will review allegations of the use of force against civilians.
NB: Kwa wale wasioelewa ni kuwa kwa utaratibu wa Marekani, huyu akishaongea kinachofuata ni hatua za kinidhamu. Yani kwa upande wa Marekani huyu akishazungumza basi jiandae kwa kuchukuliwa hatua maana mwisho wa matamko ni kwa secretary of state.
Pili Marekani akishachukua hatua wanafuata washirika wake wa Ulaya.
Marekani kwa siku za karibuni imechukua hatua kali kwa wavurugaji wa uchaguzi mataifa mbalimbali
Hakuna jipya.
Uozo umekuwepo siku zote.
Tatizo lenu mko wepesi wa kusahau.
Na mpaka kufika 2025, haya ya 2020 mtakuwa mshayasahau na mtashiriki tena uchaguzi chini ya mazingira haya haya ya leo, jana, juzi, na majuzi.
2015 Lowassa hakukubaliana na matokeo. Unabisha?
2010 Slaa hakukubaliana na matokeo. Unabisha?
Hakuna jipya.
Uozo umekuwepo siku zote.
Tatizo lenu mko wepesi wa kusahau.
Na mpaka kufika 2025, haya ya 2020 mtakuwa mshayasahau na mtashiriki tena uchaguzi chini ya mazingira haya haya ya leo, jana, juzi, na majuzi.
2015 Lowassa hakukubaliana na matokeo. Unabisha?
2010 Slaa hakukubaliana na matokeo. Unabisha? si nasikia walimuachia Mungu?.By the way 2010 na 2015 hatukusikia mfululizo wa ripoti kutoka mataifa makubwa kama mwaka huu.Hofu yangu kuwekewa vikwazo vya kiuchumi.
Ni kweli kabisa lakini yote kwa yote ili tuweze kumkabili adui wa nje ni muhimu kwanza kuimarisha umoja wa kitaifa ili adui asipate loop-hole ya kutudhibiti.Nionavyo, hadi sasa nchi imegawanyika vipande vipande kitu ambacho ni mtaji mkubwa sana wa maadui zetu wa nje.Wazungu huwa hawana interest na maslahi ya mtu mwingine zaidi ya maslahi yao.
Ukiona wanatafuta weakness yoyote kwenye utawala wa nchi flani ujue hiyo nchi wamebanwa maslahi yao.
Kama atatokea rais akabana maslahi yao hata awe nademokrasia vipi atakua rais mbaya.
Mie napigania haki lakini sidhani kama wazungu wako kwaajili ya sisi kupata haki. Wao wanamaslahi tu yakudumu na hawana rafiki kamwe.
Kama ikatokea rais mteule akaamua kuwapoza kwa kuwapa rasilimali zetu tutakaoumia ni sisi ila wazungu wataanza kumsifia na sisi tulivyo na ujinga tutaanza kuhisi nikweli ni raisi bora.
Ukiona rais wako anasifiwa na wazungu unapaswa kuwa na mashaka na mambo yanayoendelea nyuma ya pazia.
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Hata mimi binafsi huwa najiuliza sana swali hili?Vipi kuhusu Uganda mbona marekani hawasemi chochote? Chuma kipo madarakini tangu 1986 na bado kinagombea mbona wapo kimya?? Waache waongee wakichoka watalala
Let him deal with their problem.We are deeply concerned by reports of election irregularities, politically motivated arrests, and violence during Tanzania’s elections last week. We urge authorities to fully address concerns of irregularities and will review allegations of the use of force against civilians.
NB: Kwa wale wasioelewa ni kuwa kwa utaratibu wa Marekani, huyu akishaongea kinachofuata ni hatua za kinidhamu. Yani kwa upande wa Marekani huyu akishazungumza basi jiandae kwa kuchukuliwa hatua maana mwisho wa matamko ni kwa secretary of state.
Pili Marekani akishachukua hatua wanafuata washirika wake wa Ulaya.
Marekani kwa siku za karibuni imechukua hatua kali kwa wavurugaji wa uchaguzi mataifa mbalimbali
Hivi ARV huwa zinatoka nchi gani?Tunajitosheleza sisi, hatuitaji misaada yao
Huyo Lowassa kama hakukubali matokeo alichukua hatua gani?
Again Lissu is a completely different story.
Dua mbovu hizo zinazidi kufuta na kuviondoa vyama hivyo kwenye ulingo wa siasa.Ubabe usio na akili kabisa wa kiongozi wetu wa sasa unatutia aibu kubwa kimataifa!
Hivi ARV tunaletewa kutoka nchi gani?Marekani nikuwakataa tu Kama walivyokataliwa na Kim Jong Un na maisha bado yanaendelea.
Wasenge Sana hao jamaa.
Sawa.Je,kama taifa huru tuna uwezo wa kuwadhibiti hao mabeberu? au wao ndo wana uwezo wa kutudhibiti sisi?Ni upumbavu mtupu kudhani baadhi ya mataifa ya ulaya yanaweza kuacha mambo yao na kutuwazia sisi for free....
Hiyo miingereza inajua sisi ni nchi huru?
Hiyo miingereza inahojiwa na nani pale inapofanya mabaya kwa wananchi wake?
Ni aibu pale tunapokua na shida flani katika nchi kuanza kwenda kwenye balozi za mataifa ya ulaya huu no upumbavu uliopitiliza
Mwisho kabisa Muafrika yeyete anaeiamini BBC ajitizame mara mbili kwa kua BBC ni chombo cha kipropaganda cha mabeberu
Kazi yake kibwa no moja tu kitangaza mabaya kuhusu Africa na kiwajaza hofu waafrika na kusifia yote mabaya na mazuri ya mabeberu
Mkuu sikuoni ukianzisha zile nyuzi zako za mapambio juu ya chama tawala CHADEMA.Mungu wabariki Wazungu