Uchaguzi 2020 Secretary Pompeo azungumzia kinachoendelea Tanzania kuhusu mambo ya Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Secretary Pompeo azungumzia kinachoendelea Tanzania kuhusu mambo ya Uchaguzi

Wapambane kwanza na Trump wamuweke kwenye mstari
Democracy ndiyo wanaingia ikulu Safari hii tramp hapiti lakini ujue baada ya uchaguzi huchukua miezi mitatu Rais mpya kuingia white house
 
Kati ya chaguzi zilizokuwa na AMANI kubwa kabisa ni huu!!!! Wasiokuwepo kwenye uchaguzi badala ya kuwasikiliza WAANGALIZI WA UCHAGUZI Wao wanachukua matamko ya upinzani na kuwa ndo yao!!!
CCM imeteuliwa na wakurugenziccm NECCCM Tumeccm na Polisiccm kwa njia haramu za kishetani hawakushinda kwenye sanduku la kura
 
Mabeberu wakisusia utalii Tanzania itakuaje?
Unadhani Tanzania wanakuja kwa sababu wanatupenda sana big no
Ni kwa sababu Mungu akutupendelea tuwe tofauti yaani sisi ni kama maji usipotuoga utautunywa, usipotunywa utatupikia, usipo pikia utaoshea hata gari lako
Mungu ibariki Tanzania
 
View attachment 1618016

UINGEREZA YATAKA UCHUNGUZI HURU UFANYIKE KUHUSU UCHAGUZI WA TANZANIA

Kulingana na taarifa iliotolewa na Uingereza na kuchapishwa tarehe mosi mwezi Novemba, Taifa hilo sasa linajiunga na mataifa mengine katika kuitisha uchunguzi huru ufanywe ili kuondoa wasiwasi unaozidi kuenea katika taifa La Tanzania

Waziri wa masuala ya Afrika James Duddridge amesema kwamba Uingereza inashangazwa na ripoti za ghasia na kiwango cha juu cha maafisa wa polisi katika vituo vya kupigia kura ikiwemo suala zima la kukamatwa kwa baadhi ya viongozi wa upinzani.

Amesema kwamba Uingereza pia ina wasiwasi kuhusu madai ya kuingiliwa kwa uchaguzi huo, kujazwa kwa kura katika masanduku ya kupigia kura na kuzuiliwa kwa mawakala wa vyama vya upinzani kuingia katika vituo vya kupigia kura.

Vilevile taifa hilo limeshangazwa na madai ya ripoti za ghasia na kiwango kikubwa cha maafisa wa polisi katika vituo vya kupigia kura wakati wa uchaguzi, ikiwemo kukamatwa kwa baadhi ya viongozi wa upinzani.

Kulingana na taarifa hiyo , Uingereza imesema kwamba kwa Tanzania kuwa dhabiti na kustawi katika siku za usoni , itahitaji mchakato wa kidemokrasia ulio huru na wa haki, unaoungwa mkono na vyombo vya habari vilivyo huru.

Source: BBC
Ni upumbavu mtupu kudhani baadhi ya mataifa ya ulaya yanaweza kuacha mambo yao na kutuwazia sisi for free....

Hiyo miingereza inajua sisi ni nchi huru?

Hiyo miingereza inahojiwa na nani pale inapofanya mabaya kwa wananchi wake?

Ni aibu pale tunapokua na shida flani katika nchi kuanza kwenda kwenye balozi za mataifa ya ulaya huu no upumbavu uliopitiliza

Mwisho kabisa Muafrika yeyete anaeiamini BBC ajitizame mara mbili kwa kua BBC ni chombo cha kipropaganda cha mabeberu

Kazi yake kibwa no moja tu kitangaza mabaya kuhusu Africa na kiwajaza hofu waafrika na kusifia yote mabaya na mazuri ya mabeberu
 
Wazungu huwa hawana interest na maslahi ya mtu mwingine zaidi ya maslahi yao.
Ukiona wanatafuta weakness yoyote kwenye utawala wa nchi flani ujue hiyo nchi wamebanwa maslahi yao.
Kama atatokea rais akabana maslahi yao hata awe nademokrasia vipi atakua rais mbaya.
Mie napigania haki lakini sidhani kama wazungu wako kwaajili ya sisi kupata haki. Wao wanamaslahi tu yakudumu na hawana rafiki kamwe.
Kama ikatokea rais mteule akaamua kuwapoza kwa kuwapa rasilimali zetu tutakaoumia ni sisi ila wazungu wataanza kumsifia na sisi tulivyo na ujinga tutaanza kuhisi nikweli ni raisi bora.

Ukiona rais wako anasifiwa na wazungu unapaswa kuwa na mashaka na mambo yanayoendelea nyuma ya pazia.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu kinachoitwa maslahi ya wazungu.
Ni maslahi ya binadam.
Demokrasia ndiyo dawa ya kuweka maslahi kwa haki.

Angalia jinsi Serikali ya CCM inavyolinda maslahi ya Chama na watawala wake kwa kutumia mtutu wa bunduki kwa watanzania wenzao .Watu wanalinda vyeo vyao kwa nguvu kubwa dhidi ya wananchi wapiga kura. Yote ni kulinda maslahi yao na familia zao.
Usifikiri Polisi au Jeshi hawajui kuwa wanayoyafanya kwa wananchi ni mambo mabaya hata mbele ya mwenyezi Mungu anayejua thamani ya kila mmoja lakini wanalinda maslahi yao hasa ukizingatia kuwa hakuna Demokrasia . Mtu anaona jinsi nje ya ajira na utawala na madaraka yake atakavyoshughulikiwa na mwisho hata kuuawa basi anaona ni bora atumie Mabomu kuwaridhisha CCM ili waendelee kukaa meza moja na kuwaibia Watanzania.

Tofauti kidogo na wazungu ni kwamba Majeshi yao hayawezi kuwashambulia kwa watu wao wakati wa uchaguzi ili kushinikiza chama Fulani kishinde.
Sisi Afrika watu wanabeba maslahi binafsi kuwa ndiyo maslahi ya umma.

Leo Marekani Trump anatukanwa sana lakini hakuna MTU anauawa au kuteswa kwa sababu ya kumkashfu Trump.
Ukipata Urais umepata mamlaka na heshma kubwa sana Duniani hivyo uwe Tayari pia kuchukiwa na kupewa lawama kwa matendo mabaya yanayotokea chini ya utawala wako vinginevyo hufai kupewa nafasi ya kuwa kiongozi mkuu wa wanadam. Lakini pia Wenzetu wapo wazi kuwaacha wanaopinga unyanyasaji wafanye kazi zao hata kama hawatekelezi lakini wanaficha ubaya wao kwa kuruhusu watu kuandamana kupinga matendo ya kihuni.

Hivi Marekani askari angeweza kumpiga Obama mabomu wakati ule akiwa anagombea huku kundi kubwa la watu weusi wakiwa wanamuunga mkono? Bila shaka ingekua ni hatari kubwa sana mana ubaguzi ungeonekana wazi. Hata hivyo alikua huru mpaka akawa Rais wa nchi kubwa Duniani. Kitendo cha Obama mwenye asili ya Kenya kuwa Rais wa Marekani kilinisababisha nikapenda sana Demokrasia. Demokrasia inaondoa Ubaguzi na Chuki . Ilikua ni Rahisi sana kama zingekua ni nchi za kiafraka kwa Bushi kutumia mpaka mabomu ya sumu kumsambaratisha Obama na kuhakikisha hatawali Marekani ,tena kwa propaganda nyingi juu ya asili yake n.k. Lakini hayo yaliishia kama siasa na hayakuingia kwenye vyombo vya Dola kama ilivyo Tanzania ,CCM ikiguswa basi ndio Majeshi yameguswa wanatoka na silaha zote kuwaua watu ili CCM ( watanzania wa daraja la kwanza ) wasije wajakosa madaraka utafikiri hao wengine sio ndugu zao . Ujinga mtupu unaofanyika Afrika kutumia majeshi kutesa ndugu zao halafu wanalaumu Nchi za magharibi.

Leo hata hao CCM ni waoga sana kujiajiri mana wanajua kuwa serikali sio Rafiki wa Wafanyabiashara hasa wasio na mkono Serikalini .
Biashara zinazobaki ni za makada wa CCM na wengi wanaishi kijanja kijanja .

Nchi za Afrika zimebaki kuwa ni mawakala wa Mkoloni mpya China.
Mkoloni wa zamani aliingia Afrika kwa namna hii hii ya kuwalinda machifu waliowaunga mkono dhidi ya wananchi waliowapinga matokeo yake tukatawaliwa. Haya yanayotokea Afrika ni jeuri ya watawala kwa sababu China iko nyuma yao na inawapa mikopo yenye masharti mabaya zaidi ila kwa nje yanaonekana mazuri mana wanauwezo wa kujenga miundo mbinu kila mahali alimradi watawale soko lote la uwekezaji na ujenzi wa miundo mbinu hiyo.

Waafrika tuthaminiane wenyewe mana shida ni umaskini mkubwa ambao kwa wazi unawaumiza wengi na Sasa wameshajua kuwa ili utajirike kwa haraka ni Lazima uingie kwenye siasa za vyama vinavyotawala.

Hivi ni kweli kuwa wasomi wote na matajiri wanapenda vyama TAWALA na serikali zake? Jibu ni hapana lakini wanachoangalia ni maslahi yao kwanza. Njaa haina baunsa . Watawala wa Afrika wamelijua hilo na kucheza na akili za watu. Kila nchi Afrika inaweka sheria za kulinda watawala ili wasishitakiwe kwa jambo lolote hata liwe baya .
 
Democracy ndiyo wanaingia ikulu Safari hii tramp hapiti lakini ujue baada ya uchaguzi huchukua miezi mitatu Rais mpya kuingia white house
Sasa kiafrika kama mtawala akishindwa miezi mitatu haitoshi.
1. Inabidi kwanza faili nyingine zipigwe moto ili kupoteza ushahidi.
2. Sumu ziwekwe kwenye viyoyozi na vyakula vingine.
3.Mitego ya kichawi iwekwe na mingine itenguliwe.
4. Mazungumzo na mchakato wa makabidhiano uanze.
Unaweza kukuta mwaka mzima ni figisu tu na kuviziana.
 
We are deeply concerned by reports of election irregularities, politically motivated arrests, and violence during Tanzania’s elections last week. We urge authorities to fully address concerns of irregularities and will review allegations of the use of force against civilians.

NB: Kwa wale wasioelewa ni kuwa kwa utaratibu wa Marekani, huyu akishaongea kinachofuata ni hatua za kinidhamu. Yani kwa upande wa Marekani huyu akishazungumza basi jiandae kwa kuchukuliwa hatua maana mwisho wa matamko ni kwa secretary of state.

Pili Marekani akishachukua hatua wanafuata washirika wake wa Ulaya.

Marekani kwa siku za karibuni imechukua hatua kali kwa wavurugaji wa uchaguzi mataifa mbalimbali
Hamia huko America ni nani?? si kitu hao wanakufaa wewe mpenda mauti,, Kazi ya America ni kusababisha na kuleta maafa duniani na sasa kaptura imewashuka hadi magotini kwa China na urusi hata kuwapangia nani awe raisi hawana kitu hao wezi watupu.
 
Hakuna jipya.

Uozo umekuwepo siku zote.

Tatizo lenu mko wepesi wa kusahau.

Na mpaka kufika 2025, haya ya 2020 mtakuwa mshayasahau na mtashiriki tena uchaguzi chini ya mazingira haya haya ya leo, jana, juzi, na majuzi.

2015 Lowassa hakukubaliana na matokeo. Unabisha?

2010 Slaa hakukubaliana na matokeo. Unabisha?
Hakuna jipya.

Uozo umekuwepo siku zote.

Tatizo lenu mko wepesi wa kusahau.

Na mpaka kufika 2025, haya ya 2020 mtakuwa mshayasahau na mtashiriki tena uchaguzi chini ya mazingira haya haya ya leo, jana, juzi, na majuzi.

2015 Lowassa hakukubaliana na matokeo. Unabisha?

2010 Slaa hakukubaliana na matokeo. Unabisha? si nasikia walimuachia Mungu?.By the way 2010 na 2015 hatukusikia mfululizo wa ripoti kutoka mataifa makubwa kama mwaka huu.Hofu yangu kuwekewa vikwazo vya kiuchumi.

Wazungu huwa hawana interest na maslahi ya mtu mwingine zaidi ya maslahi yao.
Ukiona wanatafuta weakness yoyote kwenye utawala wa nchi flani ujue hiyo nchi wamebanwa maslahi yao.
Kama atatokea rais akabana maslahi yao hata awe nademokrasia vipi atakua rais mbaya.
Mie napigania haki lakini sidhani kama wazungu wako kwaajili ya sisi kupata haki. Wao wanamaslahi tu yakudumu na hawana rafiki kamwe.
Kama ikatokea rais mteule akaamua kuwapoza kwa kuwapa rasilimali zetu tutakaoumia ni sisi ila wazungu wataanza kumsifia na sisi tulivyo na ujinga tutaanza kuhisi nikweli ni raisi bora.

Ukiona rais wako anasifiwa na wazungu unapaswa kuwa na mashaka na mambo yanayoendelea nyuma ya pazia.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa lakini yote kwa yote ili tuweze kumkabili adui wa nje ni muhimu kwanza kuimarisha umoja wa kitaifa ili adui asipate loop-hole ya kutudhibiti.Nionavyo, hadi sasa nchi imegawanyika vipande vipande kitu ambacho ni mtaji mkubwa sana wa maadui zetu wa nje.
 
We are deeply concerned by reports of election irregularities, politically motivated arrests, and violence during Tanzania’s elections last week. We urge authorities to fully address concerns of irregularities and will review allegations of the use of force against civilians.

NB: Kwa wale wasioelewa ni kuwa kwa utaratibu wa Marekani, huyu akishaongea kinachofuata ni hatua za kinidhamu. Yani kwa upande wa Marekani huyu akishazungumza basi jiandae kwa kuchukuliwa hatua maana mwisho wa matamko ni kwa secretary of state.

Pili Marekani akishachukua hatua wanafuata washirika wake wa Ulaya.

Marekani kwa siku za karibuni imechukua hatua kali kwa wavurugaji wa uchaguzi mataifa mbalimbali
Let him deal with their problem.
 
Ubabe usio na akili kabisa wa kiongozi wetu wa sasa unatutia aibu kubwa kimataifa!
Dua mbovu hizo zinazidi kufuta na kuviondoa vyama hivyo kwenye ulingo wa siasa.

Je, yule mgombea Urais aliyekuwa anaporomosha matusi kwenye kampeni?

Na kauli za kuchochea vurugu, kwa kisingizio cha "maandamano ya amani" zinazidi kuongeza chuki ya wananchi dhidi ya hao viongozi wenye uchu wa madaraka

Na kama hao viongozi hawabadiliki Uchaguzi Mkuu, 2025 watatoka kapa.

Rais Mteule atakapoapishwa na kufungua bunge, msikilize kwa umakini kuhusu Tanzania ya kesho.
 
Ni upumbavu mtupu kudhani baadhi ya mataifa ya ulaya yanaweza kuacha mambo yao na kutuwazia sisi for free....

Hiyo miingereza inajua sisi ni nchi huru?

Hiyo miingereza inahojiwa na nani pale inapofanya mabaya kwa wananchi wake?

Ni aibu pale tunapokua na shida flani katika nchi kuanza kwenda kwenye balozi za mataifa ya ulaya huu no upumbavu uliopitiliza

Mwisho kabisa Muafrika yeyete anaeiamini BBC ajitizame mara mbili kwa kua BBC ni chombo cha kipropaganda cha mabeberu

Kazi yake kibwa no moja tu kitangaza mabaya kuhusu Africa na kiwajaza hofu waafrika na kusifia yote mabaya na mazuri ya mabeberu
Sawa.Je,kama taifa huru tuna uwezo wa kuwadhibiti hao mabeberu? au wao ndo wana uwezo wa kutudhibiti sisi?
 
Back
Top Bottom