Carlos Valderrama
JF-Expert Member
- Dec 27, 2014
- 664
- 240
Mambo hayo yafanyike mpaka kwenye kufuturisha.
Na mikrismasi tree je?
Kama ilivyo la kadi pia hili la kufuturisha kwenye ofisi za umma lilikuwa linatia hadi kichefuchefu. Mambo yote yenye "vimelea" vya udini kwenye ofisi za umma tupa kule. Marufuku magari ya serikali kuonekana kwenye nyumba za ibada unless kuna msiba unaohusu ofisi kama mfanyakazi kufariki au kufiwa na sio siku zenu za ibada.
Serikali haina dini, wanaotaka kwenda kuabudu waende kwa gharama zao na sio kutegemea rasilimali za Serikali kukamilisha ibada zako. Awamu hii ijitahidi kulifanya taifa hili kuwa secular kweli kweli ili kuondoa choko choko za kijinga kama nani achinje na nani asifanye hivyo.
Ndugu zangu katika imani kwa mwendo huu sidhani kama mwakani tutapata futuru pale ikulu. Yalabi tobaa tuepushe sie waja wako na hichi kikombe cha pombe.... Amin
Mfumo kri unatokomea time say
Na mikrismasi tree je?
Hivi mtume na wafuasi wake walikuwa wanajilipua au kuua wapita njia?
Alokwambia uislamu umeruhusu kujiripua ni nani,wanaofanya hivyo ni sawa na mkristo anaekula nguruwe dini yake hairuhusu ila anafanya kwa uroho wake,rejea mambo ya walawi.