Sehem nzuri za kuenjoy/kupumzika moshi /Arusha naziomba

Sehem nzuri za kuenjoy/kupumzika moshi /Arusha naziomba

Ila kweli… kuna wakati walipofanya mabadiliko ya kuacha kupokea cash, tumeenda tumeuliziwa mlangoni pale roof top jamani et mnalipa kwa njia gani? Hatupokei cash siku hizi, na mm nikamjibu sitembeagi na cash dada wezi wengi mkoani kwenu 😂😂

Sasa unamuulizaje mtu analipa kwa njia gani hata hajakaa kwa meza?? Si usubiri unapompa menu ndio umwambie na taratibu zenu!!
Wahudumu njaa kali ila kwakuwa wanajitongozesha kwa watalii wanatuvimbia wamatumbi wenzao.
 
Hotel zote za style hiyo
Wanaujinga huo
Yaani wanaenda meza ya mzungu kama nyuki ila wakiona ngozi nyeusi mpaka uite mara nyingi sana
Sio hiyo tu
Hata hizi za dar
Wanakuona kama ombaomba
Wakati utalipia
Kwanza wazungu wa Arusha wengi wao nao njaa kali...pale gran melia wazungu wengi wanaenda kula na kusepa hawalali pale.
 
Mi natoa hela the least you can do ni unihudumie vizuri kwa kweli
Vinginevyo nitakua na mawili na yakuwaza kichwani
1)ela yangu nayoitoa
2)dharau zako muhudumu
Vihudumu vya pale shule hamna exposure 0 wanajua kila rangi nyeupe ina hela hasa wahudumu wa kike.......wahudumu wa kiume hawana noma.
 
Back
Top Bottom