Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
Ngoja tuone...Nitamteka..
Ngoja tuone...Nitamteka..
Hapo sawa itakua vizuri kuchagua ni kuamuaHii coment yako umeitoa uzi mwingine
Ulee wa fumanizi nyumbani
😂😂😂
Nachagua location kwa msaada wa depal hapo
Bia yangu ni serengeti lite au castle mkuu imported beer nyingi fake bora nibaki nyumbani....kuna kiwanja kinaitwa the location hapa Arusha karibu na uzunguni park nilipewa Heineken ina radha kama ya gongo sikuimaliza toka hapo rasmi nikaacha kunywa imported beer.Bia ni bia ndio bia gani unatumia mkuu?
Mount point 3k hapo the pillars itakuwa 5k....vijana wa seed co nawakubali sana wanavyosumbua hapo the pillars na tshet zao.😁😁 akiii wallah
Kuna sehemu wana flying fish kwa 2000? Au enyewe sio local?
Wenye mji wenu ndio nyie sasa.1. Kuhusu Hotel sijui, ila naweza kukutajia jina la hizi wanaita Air bnb.. nzuri kabisa ukaenjoy indoor bar, private swimming, jaccuz na quiet environment…
Ukiamka utaenda kufanya hiking Napuru waterfall only if uko na pumzi.. 😂😂
Hapo Napuru kuna activity za hapa na pale nzuri na za kuvutia. Esp quid bike… zipline, kulenga shababa na mkuki, paint ball nk
2. Unapenda mchezo wa golf? Kuendesha vigari? Greenish ya kwenda? Wanyama wa mchongo? Basi nenda Kilimanjaro golf & wildlife - Usa river
3. Unapenda boat riding? Horse riding? Greenish? Nenda Ngasere Lodge na Lake Duluti
4. Unapenda pizza? Basi bravo P Njiro bia .. is the best kuzidi ya Gran Melia. Melia views ni nomaaa, si mchana, si usiku.. hadi washroom ukipewa ulale utalala ni 10 over 10 minus sifuri.
5. Street foods? Nenda mitaa ya soko kuu jioni.. kuna tumishkaki twa 400 ila ukikaa vibaya unamaliza 20k huku umesimama tu
6. Bia? Basi pillers.. kukesha? The Hub/ Access
7. Unatumia kondoo? Nenda Tam lounge, kondoo choma amazing.. mazingira tulivu- iko pembeni ya Access
8. Kabila Juction.. very cool restaurant, pakupumzika na bia.. ila wana bei.. iko hapo pembeni ya Gold Crest Hotel
9. Kuna moshi wowote unatumia? Au basi..
10. Live band? Dada “Waseme” anajua 🤣 mpm me atanichapa
11. Amber restaurant.. mazingira tulivu, msosi mdhuri. Ethiopian Restaurant napo kondoo amazing
12. Wasikwambie uende Chemka hot spring.. pamekaa kiswahili sana na hamna maajabu. Dhambi zimekuwa nyingi, maji si ya moto tena.. labda tule tusamaki tunakomasaji miguu
Zinatosha kwa kuanzia.. hizo sehemu zote ukienda na 200,000 unarudi na chenji kama huna mambo mengi. Wala hutumii zile pombe zinakuja na vibango
Am done Smart911
😁😁
Yeah nimeona nimeonaHiyo minus 0 hapo
Naona imeenda
Hotel zote za style hiyoWenye mji wenu ndio nyie sasa.
Nilienda gran melia location yake ni nzuri ila wahudumu miyayusho sana wanashobokea wazungu sana wateja wa kibongo wanatuona kama wafanyakazi wenzao.
Yahn nimetoka kuuza red spinel gram 23 unataka kunichukulia poa.
Umbea 😂Sijaona...
Ila kweli… kuna wakati walipofanya mabadiliko ya kuacha kupokea cash, tumeenda tumeuliziwa mlangoni pale roof top jamani et mnalipa kwa njia gani? Hatupokei cash siku hizi, na mm nikamjibu sitembeagi na cash dada wezi wengi mkoani kwenu 😂😂Wenye mji wenu ndio nyie sasa.
Nilienda gran melia location yake ni nzuri ila wahudumu miyayusho sana wanashobokea wazungu sana wateja wa kibongo wanatuona kama wafanyakazi wenzao.
Yahn nimetoka kuuza red spinel gram 23 unataka kunichukulia poa.
Tengeru
Ngorongoro
Ni 5000 ndiyoMount point 3k hapo the pillars itakuwa 5k....vijana wa seed co nawakubali sana wanavyosumbua hapo the pillars na tshet zao.
😂😂 The Location imejificha sana jamaniBia yangu ni serengeti lite au castle mkuu imported beer nyingi fake bora nibaki nyumbani....kuna kiwanja kinaitwa the location hapa Arusha karibu na uzunguni park nilipewa Heineken ina radha kama ya gongo sikuimaliza toka hapo rasmi nikaacha kunywa imported beer.
😂😂😂 najua hapo umetilia mkazo no 9kuna mchongo wangu ukikaa sawa nakutafuta hapo kwenye namba 9 na 5 ndio mambo yangu😎 Inshallah mwezi wa 11 na 12 ntakuwepo huko nile bata sana zanzibar nishapachoka
Kabisa 😎😎😂😂😂 najua hapo umetilia mkazo no 9
The Andrews Nako ni kwa walevi?😂😂 The Location imejificha sana jamani
Me mtu akipajua kule namuona mleviii
Andrews ni mgahawaThe Andrews Nako ni kwa walevi?
Hahaha pamejificha kwelikweli siku ya kwanza naenda nikajua huku patakauwa kama bar zetu za vichochoroni kumbe nao wanajikuta washua bei za kitalii.😂😂 The Location imejificha sana jamani
Me mtu akipajua kule namuona mleviii
Ila utaratibu wao uko poa, siku ukiwa na mtoto mkali sio chakaramu au mgeni wa heshima ndio mahali pake bei zake ni za kukimbiza wahuni wasikanyage.Ni 5000 ndiyo
Bei ya kizalendo tu 😂😂