Sehem nzuri za kuenjoy/kupumzika moshi /Arusha naziomba

Sehem nzuri za kuenjoy/kupumzika moshi /Arusha naziomba

Nina miaka takribani mitano

Huwa napita tu moshi na Arusha nikienda kwa kasongo

Sijawahi kaaa kwa zaidi ya siku moja

Pasaka hii yote nitakua huko...nahitaji kujua hotel nzuri na tulivu kwa Arusha au Moshi kwa ajili ya kupumzika na ku enjoy...

...inbox ipo wazi kwa review ili tusiaribu biashara za watu
Ukawe malaika huko ukipata wasaa na ukiwiwa muwezeshe muhitaji yeyote.
 
Kuna Mbili Zipo Njiro Hizo Wateja Wake Wakuu Ni Watu Wanaobukua Easter And Southern Management Institute (ESAMI)
Kenya , Uganda, Malawi, Eswatin, Zambia, Zimbabwe, Namibia
Wana Huduma Nzuri Sana
Hiko chuo wanasoma washua picha linaanza ada zake sio chini ya dola 7000

Unafikiri hotel zake zitakuwa kinyonge....ila Arusha ukiwa na kibunda patamu.
 
Back
Top Bottom