Sehem nzuri za kuenjoy/kupumzika moshi /Arusha naziomba

1. Kuhusu Hotel sijui, ila naweza kukutajia jina la hizi wanaita Air bnb.. nzuri kabisa ukaenjoy indoor bar, private swimming, jaccuz na quiet environment…

Ukiamka utaenda kufanya hiking Napuru waterfall only if uko na pumzi.. 😂😂
Hapo Napuru kuna activity za hapa na pale nzuri na za kuvutia. Esp quid bike… zipline, kulenga shababa na mkuki, paint ball nk

2. Unapenda mchezo wa golf? Kuendesha vigari? Greenish ya kwenda? Wanyama wa mchongo? Basi nenda Kilimanjaro golf & wildlife - Usa river

3. Unapenda boat riding? Horse riding? Greenish? Nenda Ngasere Lodge na Lake Duluti

4. Unapenda pizza? Basi bravo P Njiro bia .. is the best kuzidi ya Gran Melia. Melia views ni nomaaa, si mchana, si usiku.. hadi washroom ukipewa ulale utalala ni 10 over 10 minus sifuri.

5. Street foods? Nenda mitaa ya soko kuu jioni.. kuna tumishkaki twa 400 ila ukikaa vibaya unamaliza 20k huku umesimama tu

6. Bia? Basi pillers.. kukesha? The Hub/ Access

7. Unatumia kondoo? Nenda Tam lounge, kondoo choma amazing.. mazingira tulivu- iko pembeni ya Access

8. Kabila Juction.. very cool restaurant, pakupumzika na bia.. ila wana bei.. iko hapo pembeni ya Gold Crest Hotel

9. Kuna moshi wowote unatumia? Au basi..

10. Live band? Dada “Waseme” anajua 🤣 mpm me atanichapa

11. Amber restaurant.. mazingira tulivu, msosi mdhuri. Ethiopian Restaurant napo kondoo amazing

12. Wasikwambie uende Chemka hot spring.. pamekaa kiswahili sana na hamna maajabu. Dhambi zimekuwa nyingi, maji si ya moto tena.. labda tule tusamaki tunakomasaji miguu

Zinatosha kwa kuanzia.. hizo sehemu zote ukienda na 200,000 unarudi na chenji kama huna mambo mengi. Wala hutumii zile pombe zinakuja na vibango

Am done Smart911
😁😁
 
3. Unapenda boar riding? Horse riding? Greenish? Nenda Ngasere Lodge na Lake Duluti

masai dada miongozo hiyo...
 
Dear
Natakiwa niandae mwezi mzima
December nitakutafuta aise
 
Hii december
Nitazitenga wiki mbili
Itakua ni chaka kwa chaka na pori kwa pori
Mungu atufikishe salama
Sasa hivi kuna sehem moja nitaenda nimepata
 
Back
Top Bottom