Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Ngaresero Lodge, Leganga USA River.
Muwezeshe yeyote mwenye uhitaji huko, (mjane au mwanadada mpambanaji n.k), kwa chochote.Hii coment sijaiekewa kaka
Unapasahau Arusha Coffee? Mazingira ake ni safi kwa kukwarua ani1. Kuhusu Hotel sijui, ila naweza kukutajia jina la hizi wanaita Air bnb.. nzuri kabisa ukaenjoy indoor bar, private swimming, jaccuz na quiet environment…
Ukiamka utaenda kufanya hiking Napuru waterfall only if uko na pumzi.. 😂😂
Hapo Napuru kuna activity za hapa na pale nzuri na za kuvutia. Esp quid bike… zipline, kulenga shababa na mkuki, paint ball nk
2. Unapenda mchezo wa golf? Kuendesha vigari? Greenish ya kwenda? Wanyama wa mchongo? Basi nenda Kilimanjaro golf & wildlife - Usa river
3. Unapenda boat riding? Horse riding? Greenish? Nenda Ngasere Lodge na Lake Duluti
4. Unapenda pizza? Basi bravo P Njiro bia .. is the best kuzidi ya Gran Melia. Melia views ni nomaaa, si mchana, si usiku.. hadi washroom ukipewa ulale utalala ni 10 over 10 minus sifuri.
5. Street foods? Nenda mitaa ya soko kuu jioni.. kuna tumishkaki twa 400 ila ukikaa vibaya unamaliza 20k huku umesimama tu
6. Bia? Basi pillers.. kukesha? The Hub/ Access
7. Unatumia kondoo? Nenda Tam lounge, kondoo choma amazing.. mazingira tulivu- iko pembeni ya Access
8. Kabila Juction.. very cool restaurant, pakupumzika na bia.. ila wana bei.. iko hapo pembeni ya Gold Crest Hotel
9. Kuna moshi wowote unatumia? Au basi..
10. Live band? Dada “Waseme” anajua 🤣 mpm me atanichapa
11. Amber restaurant.. mazingira tulivu, msosi mdhuri. Ethiopian Restaurant napo kondoo amazing
12. Wasikwambie uende Chemka hot spring.. pamekaa kiswahili sana na hamna maajabu. Dhambi zimekuwa nyingi, maji si ya moto tena.. labda tule tusamaki tunakomasaji miguu
Zinatosha kwa kuanzia.. hizo sehemu zote ukienda na 200,000 unarudi na chenji kama huna mambo mengi. Wala hutumii zile pombe zinakuja na vibango
Am done Smart911
😁😁
Hivi KiliGolf ipo Usa river au maji ya chai?1. Kuhusu Hotel sijui, ila naweza kukutajia jina la hizi wanaita Air bnb.. nzuri kabisa ukaenjoy indoor bar, private swimming, jaccuz na quiet environment…
Ukiamka utaenda kufanya hiking Napuru waterfall only if uko na pumzi.. 😂😂
Hapo Napuru kuna activity za hapa na pale nzuri na za kuvutia. Esp quid bike… zipline, kulenga shababa na mkuki, paint ball nk
2. Unapenda mchezo wa golf? Kuendesha vigari? Greenish ya kwenda? Wanyama wa mchongo? Basi nenda Kilimanjaro golf & wildlife - Usa river
3. Unapenda boat riding? Horse riding? Greenish? Nenda Ngasere Lodge na Lake Duluti
4. Unapenda pizza? Basi bravo P Njiro bia .. is the best kuzidi ya Gran Melia. Melia views ni nomaaa, si mchana, si usiku.. hadi washroom ukipewa ulale utalala ni 10 over 10 minus sifuri.
5. Street foods? Nenda mitaa ya soko kuu jioni.. kuna tumishkaki twa 400 ila ukikaa vibaya unamaliza 20k huku umesimama tu
6. Bia? Basi pillers.. kukesha? The Hub/ Access
7. Unatumia kondoo? Nenda Tam lounge, kondoo choma amazing.. mazingira tulivu- iko pembeni ya Access
8. Kabila Juction.. very cool restaurant, pakupumzika na bia.. ila wana bei.. iko hapo pembeni ya Gold Crest Hotel
9. Kuna moshi wowote unatumia? Au basi..
10. Live band? Dada “Waseme” anajua 🤣 mpm me atanichapa
11. Amber restaurant.. mazingira tulivu, msosi mdhuri. Ethiopian Restaurant napo kondoo amazing
12. Wasikwambie uende Chemka hot spring.. pamekaa kiswahili sana na hamna maajabu. Dhambi zimekuwa nyingi, maji si ya moto tena.. labda tule tusamaki tunakomasaji miguu
Zinatosha kwa kuanzia.. hizo sehemu zote ukienda na 200,000 unarudi na chenji kama huna mambo mengi. Wala hutumii zile pombe zinakuja na vibango
Am done Smart911
😁😁
😁 ikoo siku watakusaliti wale vijana na watasema ulipo..Nakujaga na kuondokaga kimya kimya...
Yote ni sawa.. nadhani ni kama ukiwa shoppers utasema uko mjini, na nikiwa clork tower nitasema niko mjinj..Hivi KiliGolf ipo Usa river au maji ya chai?
Hii coment yako umeitoa uzi mwingineWewe chague location hapo unayoipenda au ni hio 10 over 10?
Yeah ni pazuri.. ila mm njia ya uelekeo wa lami ya kisongo imenikalia kushotoUnapasahau Arusha Coffee? Mazingira ake ni safi kwa kukwarua ani
Huku ndio Kuna laana ya mafuriko ya Air bnb sa hivi.Yeah ni pazuri.. ila mm njia ya uelekeo wa lami ya kisongo imenikalia kushoto
Wanangu sana wale, alafu unajua nipoje kwao so hawawezi kukupa taarifa kizembe...😁 ikoo siku watakusaliti wale vijana na watasema ulipo..
Hiyo minus 0 hapoWewe chague location hapo unayoipenda au ni hio 10 over 10?
What a blessed girl dah1. Kuhusu Hotel sijui, ila naweza kukutajia jina la hizi wanaita Air bnb.. nzuri kabisa ukaenjoy indoor bar, private swimming, jaccuz na quiet environment…
Ukiamka utaenda kufanya hiking Napuru waterfall only if uko na pumzi.. 😂😂
Hapo Napuru kuna activity za hapa na pale nzuri na za kuvutia. Esp quid bike… zipline, kulenga shababa na mkuki, paint ball nk
2. Unapenda mchezo wa golf? Kuendesha vigari? Greenish ya kwenda? Wanyama wa mchongo? Basi nenda Kilimanjaro golf & wildlife - Usa river
3. Unapenda boat riding? Horse riding? Greenish? Nenda Ngasere Lodge na Lake Duluti
4. Unapenda pizza? Basi bravo P Njiro bia .. is the best kuzidi ya Gran Melia. Melia views ni nomaaa, si mchana, si usiku.. hadi washroom ukipewa ulale utalala ni 10 over 10 minus sifuri.
5. Street foods? Nenda mitaa ya soko kuu jioni.. kuna tumishkaki twa 400 ila ukikaa vibaya unamaliza 20k huku umesimama tu
6. Bia? Basi pillers.. kukesha? The Hub/ Access
7. Unatumia kondoo? Nenda Tam lounge, kondoo choma amazing.. mazingira tulivu- iko pembeni ya Access
8. Kabila Juction.. very cool restaurant, pakupumzika na bia.. ila wana bei.. iko hapo pembeni ya Gold Crest Hotel
9. Kuna moshi wowote unatumia? Au basi..
10. Live band? Dada “Waseme” anajua 🤣 mpm me atanichapa
11. Amber restaurant.. mazingira tulivu, msosi mdhuri. Ethiopian Restaurant napo kondoo amazing
12. Wasikwambie uende Chemka hot spring.. pamekaa kiswahili sana na hamna maajabu. Dhambi zimekuwa nyingi, maji si ya moto tena.. labda tule tusamaki tunakomasaji miguu
Zinatosha kwa kuanzia.. hizo sehemu zote ukienda na 200,000 unarudi na chenji kama huna mambo mengi. Wala hutumii zile pombe zinakuja na vibango
Am done Smart911
😁😁
Utashaaaa sasa hiyo siku ikifika.. au hata mwanao wa kike yule ataniambiaWanangu sana wale, alafu unajua nipoje kwao so hawawezi kukupa taarifa kizembe...
NinashukuruMuwezeshe yeyote mwenye uhitaji huko, (mjane au mwanadada mpambanaji n.k), kwa chochote.
Just, ku-share faraja.
Umepasahau pale ilipokua birthday yako...1. Kuhusu Hotel sijui, ila naweza kukutajia jina la hizi wanaita Air bnb.. nzuri kabisa ukaenjoy indoor bar, private swimming, jaccuz na quiet environment…
Ukiamka utaenda kufanya hiking Napuru waterfall only if uko na pumzi.. 😂😂
Hapo Napuru kuna activity za hapa na pale nzuri na za kuvutia. Esp quid bike… zipline, kulenga shababa na mkuki, paint ball nk
2. Unapenda mchezo wa golf? Kuendesha vigari? Greenish ya kwenda? Wanyama wa mchongo? Basi nenda Kilimanjaro golf & wildlife - Usa river
3. Unapenda boat riding? Horse riding? Greenish? Nenda Ngasere Lodge na Lake Duluti
4. Unapenda pizza? Basi bravo P Njiro bia .. is the best kuzidi ya Gran Melia. Melia views ni nomaaa, si mchana, si usiku.. hadi washroom ukipewa ulale utalala ni 10 over 10 minus sifuri.
5. Street foods? Nenda mitaa ya soko kuu jioni.. kuna tumishkaki twa 400 ila ukikaa vibaya unamaliza 20k huku umesimama tu
6. Bia? Basi pillers.. kukesha? The Hub/ Access
7. Unatumia kondoo? Nenda Tam lounge, kondoo choma amazing.. mazingira tulivu- iko pembeni ya Access
8. Kabila Juction.. very cool restaurant, pakupumzika na bia.. ila wana bei.. iko hapo pembeni ya Gold Crest Hotel
9. Kuna moshi wowote unatumia? Au basi..
10. Live band? Dada “Waseme” anajua 🤣 mpm me atanichapa
11. Amber restaurant.. mazingira tulivu, msosi mdhuri. Ethiopian Restaurant napo kondoo amazing
12. Wasikwambie uende Chemka hot spring.. pamekaa kiswahili sana na hamna maajabu. Dhambi zimekuwa nyingi, maji si ya moto tena.. labda tule tusamaki tunakomasaji miguu
Zinatosha kwa kuanzia.. hizo sehemu zote ukienda na 200,000 unarudi na chenji kama huna mambo mengi. Wala hutumii zile pombe zinakuja na vibango
Am done Smart911
😁😁
Yule ndiyo kabisa hawezi toa location aisee.. pale hupati taarifa zote...Utashaaaa sasa hiyo siku ikifika.. au hata mwanao wa kike yule ataniambia
Si ndo hapo Gran Melia 😁😁 au unasemea wapi tena hukoUmepasahau pale ilipokua birthday yako...
Nitamteka..Yule ndiyo kabisa hawezi toa location aisee.. pale hupati taarifa zote...
kuna mchongo wangu ukikaa sawa nakutafuta hapo kwenye namba 9 na 5 ndio mambo yangu😎 Inshallah mwezi wa 11 na 12 ntakuwepo huko nile bata sana zanzibar nishapachoka1. Kuhusu Hotel sijui, ila naweza kukutajia jina la hizi wanaita Air bnb.. nzuri kabisa ukaenjoy indoor bar, private swimming, jaccuz na quiet environment…
Ukiamka utaenda kufanya hiking Napuru waterfall only if uko na pumzi.. 😂😂
Hapo Napuru kuna activity za hapa na pale nzuri na za kuvutia. Esp quid bike… zipline, kulenga shababa na mkuki, paint ball nk
2. Unapenda mchezo wa golf? Kuendesha vigari? Greenish ya kwenda? Wanyama wa mchongo? Basi nenda Kilimanjaro golf & wildlife - Usa river
3. Unapenda boat riding? Horse riding? Greenish? Nenda Ngasere Lodge na Lake Duluti
4. Unapenda pizza? Basi bravo P Njiro bia .. is the best kuzidi ya Gran Melia. Melia views ni nomaaa, si mchana, si usiku.. hadi washroom ukipewa ulale utalala ni 10 over 10 minus sifuri.
5. Street foods? Nenda mitaa ya soko kuu jioni.. kuna tumishkaki twa 400 ila ukikaa vibaya unamaliza 20k huku umesimama tu
6. Bia? Basi pillers.. kukesha? The Hub/ Access
7. Unatumia kondoo? Nenda Tam lounge, kondoo choma amazing.. mazingira tulivu- iko pembeni ya Access
8. Kabila Juction.. very cool restaurant, pakupumzika na bia.. ila wana bei.. iko hapo pembeni ya Gold Crest Hotel
9. Kuna moshi wowote unatumia? Au basi..
10. Live band? Dada “Waseme” anajua 🤣 mpm me atanichapa
11. Amber restaurant.. mazingira tulivu, msosi mdhuri. Ethiopian Restaurant napo kondoo amazing
12. Wasikwambie uende Chemka hot spring.. pamekaa kiswahili sana na hamna maajabu. Dhambi zimekuwa nyingi, maji si ya moto tena.. labda tule tusamaki tunakomasaji miguu
Zinatosha kwa kuanzia.. hizo sehemu zote ukienda na 200,000 unarudi na chenji kama huna mambo mengi. Wala hutumii zile pombe zinakuja na vibango
Am done Smart911
😁😁
Sijaona...Si ndo hapo Gran Melia 😁😁 au unasemea wapi tena huko