Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

Kila mtu aoe kabila lake au la Kanda yake ndio wanaendana mizimu nje ya hapo ni migogoro isiyoisha ndoani sababu mizimu inagombana matokeo ni katika ulimwengu wa mwili.
Huo ndio mpango mzima hayo makabila aliyotaja binafsi siwez kuoa ..Wanawake wake hawavutii
 
Tatizo la Zanzibar wanawake wachache ndiyo maana binti anaweza kuondoka kwenda kuishi kwao bila sababu ya msingi, lakini Zanzibar ingekuwa inawanake wengi kama Dar au Bara mke asingeweza kusubutu kuondoka kwake akaenda kwao kukaa tu, tena kwao ni karibu siyo mbali kama Dar to Mwanza, kwao ni karibu tu hata kilomita 10 haizidi, Yani hao wanawake wa pwani bora waolewe na wanaume wao tu, wakija kuolewa na wanaume wa Bara wataletewa watoto wa nje wawalee, Mwanaume aliyekamili hawezi kuvumilia tabia ya mke wake ya kwenda kwao kwa mwezi anaenda kukaa wiki tatu na wiki moja kwa mume.
 
Karne hii bado kuna watu mnawaza ukabila? Ninyi ndio wale ambao Nyerere aliwatamani mpigwe fimbo 100 mbele ya kadamnasi kwa kuendekeza Ushenzi na ubaguzi,

Mambo ya ukabila na tabia ya mtu haviendani, acheni kuwaza ujima ktk jamii iliyostaarabika
 
Pana makundi ya wanawake pana wanawake moto na wanawake baridi.
Mikoa inayopakana na Kenya wanawake wa huko wapo karibu tabia sawa yaani ni moto au pasua kichwa ni hatari kwa afya ya akili ya mwanaume.
Kanda ya kati Hadi nyanda za juu kusini ni wanawake baridi.
 
Mwanaume dhaifu lazima aogope makabila ya kaskazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…